Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

Heshima yenu wakuu, niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu.

Kwa kujitambulisha, mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X, kuna wakati Lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking alinispot na mimi naelekea hostel.

Akaniomba nimbebee makablasha aliyokuwa nayo mkononi, nikafanya hivyo hadi kwenye sehemu ilipopaki gari yake then akanisihi kuna kazi ipo pending ofisini ni msaidie kutokana na yeye kuwa na majukumu mengi, anafundisha hadi masters.

Akaniomba nimpe namba ili anitafute siku nikiwa nina ratiba loose nikafanye hiyo task. Kuna siku nikaona caller ID yake inapiga, nikapokea alafu akanieleza kama nipo free niende kufanya task aliyoniomba hapo awali.

Sikuwa na ratiba ngumu hiyo siku, nikamwambia naibuka muda si mrefu. Nilifika nikamkuta yupo peke yake akanipokea vizuri then akanipa task ya kujaza matokeo ya madogo kwenye excel. Nilimaliza kwa wakati, akanishukuru sana kwa kunipa pesa ya lunch nikataka nikatae ila alinisihi sana basi nikapokea 20k.

Baada ya hapo alijenga ukaribu na mimi, ni Lecturer alikuwa hana mazoea na wanachuo na alikuwa anaogopeka kwa ukali. Iliwashangaza wanadarasa kuona ninaweza kuongea naye hata kwa njia ya simu kumuuliza kama atakuja au lah!

Ilikuwa majira ya saa kumi na mbili nikaona simu yake inanipigia, alikuwa ananitaarifu nifike ofisi kwake mara moja kisha nikafanya hivyo. Nilifika inaelekea kumi na mbili na nusu nikamkuta yupo ana type kwenye PC yake akavuta kiti nikae pembeni yake ili na mimi nitazame anachotype
Kwakweli niliingia na kauoga kukaa kando yake.

Akawa ananifundisha jinsi ya kuandika research, ikapita muda akazima PC then akanyanyuka kwenda mlangoni akafunga mlango hapo mapigo ya moyo yalienda mbio gafla, ila sikuwa na jinsi ya kufanya nimeganda nasubiria kitakachojiri.

Akarudi na kunitaka nimfuate usawa wa dirisha alipokuwa anatazama nje, baada ya kufika hapo akaniangalia kwa umakini then akaja kunishika matackle aisee sijui anadawa au nini nilikuwa nimeganda tu.

Akatamka fulani, una makalio mazuri kweli kweli, wakati huo alikuwa ameshaniachia nikamwambia nataka niondoke, akanisogelea akiwa ametoa simu mfukoni akanionesha simu banking ile app ya CRDB, akaniambia nakupa 3M sasahivi ukiweza kunipa nilichokishika.

Nikamwambia hapana, akaelekea kufungua mlango huku akinionya kwamba nisithubutu kumwambia mtu yeyote kile kitendo, alikuwa amefura sana ndani ya dakika chache.

Alipofungua mlango nikajikataa hadi hostel huku nikiwa nipo dilemma sijui la kufanya.

DILEMMA

Baada ya tukio lile hakuniita ofisini ila kuna siku baada ya kipindi aliniona akaniita nimfuate tukaenda hadi parking akaniambia nijitafakari kuhusu alichoniomba na nikumbuke yeye ndio mtu mwisho mwenye hatma ya matokeo yangu na nitakuwa naye hadi namaliza.

Hicho kitu kinaninyima amani saivi, hicho alichoniomba sijawahi kufanya, ni kitendo cha aibu kwa uanaume wangu na pia kiimani na kijamii haikubaliki. Nifanye nini bandugu?

Nakaribisha maoni yenu, I don't care kama atasoma hili bandiko au lah.
Sasa kama wewe ni wakiume anakwambiaje kuwa una matako mazuri? anyway chunga sana marinda hayo
 
Bro,upo Masters unamuogopa Lecturer mpaka kufikia hatua ya kukushika tako? Hapana,kuna kitu hakipo sawa. Labda anajua wewe ni wa hivyo unambania yeye tu. Kwanza kwanini ulikuwa unatetemeka kama ulikuwa unajua kinachoenda kutokea.

Wapi nimesema nasoma masters?

Soma vizuri maelezo kabla ya kurukia ili tu uchangie.
 
Heshima yenu wakuu, niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu.

Kwa kujitambulisha, mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X, kuna wakati Lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking alinispot na mimi naelekea hostel.

Akaniomba nimbebee makablasha aliyokuwa nayo mkononi, nikafanya hivyo hadi kwenye sehemu ilipopaki gari yake then akanisihi kuna kazi ipo pending ofisini ni msaidie kutokana na yeye kuwa na majukumu mengi, anafundisha hadi masters.

Akaniomba nimpe namba ili anitafute siku nikiwa nina ratiba loose nikafanye hiyo task. Kuna siku nikaona caller ID yake inapiga, nikapokea alafu akanieleza kama nipo free niende kufanya task aliyoniomba hapo awali.

Sikuwa na ratiba ngumu hiyo siku, nikamwambia naibuka muda si mrefu. Nilifika nikamkuta yupo peke yake akanipokea vizuri then akanipa task ya kujaza matokeo ya madogo kwenye excel. Nilimaliza kwa wakati, akanishukuru sana kwa kunipa pesa ya lunch nikataka nikatae ila alinisihi sana basi nikapokea 20k.

Baada ya hapo alijenga ukaribu na mimi, ni Lecturer alikuwa hana mazoea na wanachuo na alikuwa anaogopeka kwa ukali. Iliwashangaza wanadarasa kuona ninaweza kuongea naye hata kwa njia ya simu kumuuliza kama atakuja au lah!

Ilikuwa majira ya saa kumi na mbili nikaona simu yake inanipigia, alikuwa ananitaarifu nifike ofisi kwake mara moja kisha nikafanya hivyo. Nilifika inaelekea kumi na mbili na nusu nikamkuta yupo ana type kwenye PC yake akavuta kiti nikae pembeni yake ili na mimi nitazame anachotype
Kwakweli niliingia na kauoga kukaa kando yake.

Akawa ananifundisha jinsi ya kuandika research, ikapita muda akazima PC then akanyanyuka kwenda mlangoni akafunga mlango hapo mapigo ya moyo yalienda mbio gafla, ila sikuwa na jinsi ya kufanya nimeganda nasubiria kitakachojiri.

Akarudi na kunitaka nimfuate usawa wa dirisha alipokuwa anatazama nje, baada ya kufika hapo akaniangalia kwa umakini then akaja kunishika matackle aisee sijui anadawa au nini nilikuwa nimeganda tu.

Akatamka fulani, una makalio mazuri kweli kweli, wakati huo alikuwa ameshaniachia nikamwambia nataka niondoke, akanisogelea akiwa ametoa simu mfukoni akanionesha simu banking ile app ya CRDB, akaniambia nakupa 3M sasahivi ukiweza kunipa nilichokishika.

Nikamwambia hapana, akaelekea kufungua mlango huku akinionya kwamba nisithubutu kumwambia mtu yeyote kile kitendo, alikuwa amefura sana ndani ya dakika chache.

Alipofungua mlango nikajikataa hadi hostel huku nikiwa nipo dilemma sijui la kufanya.

DILEMMA

Baada ya tukio lile hakuniita ofisini ila kuna siku baada ya kipindi aliniona akaniita nimfuate tukaenda hadi parking akaniambia nijitafakari kuhusu alichoniomba na nikumbuke yeye ndio mtu mwisho mwenye hatma ya matokeo yangu na nitakuwa naye hadi namaliza.

Hicho kitu kinaninyima amani saivi, hicho alichoniomba sijawahi kufanya, ni kitendo cha aibu kwa uanaume wangu na pia kiimani na kijamii haikubaliki. Nifanye nini bandugu?

Nakaribisha maoni yenu, I don't care kama atasoma hili bandiko au lah.
Hakuna mtu anayeweza kumtongoza dume mwenzake kama hajaona viashiria vya ushoga ndani ya damu yako, ata unavyoandika tu naona hapa hakuna mwanaume, ungekuwa umekaa kiume hasingejaribu kukufanyia ushenzi wa hivyo.
Nakushauri jitafakari jinsi ulivyo na matendo yako ka sivyo jiandae kutoa tackle hilo.
 
sorry mkuu au una vijielement vya kike kike .jibadilishe mwonekano wako asee. haiwezekani mwanaume nikimaanisha mwanaume haswa acha hawa wanaopaka poda na kuvaa vile vijikaptula vifuupi, ukatamaniwa na mwanaume mwenzio. ulivyoanza kusimulia nikajua ke ndo kajileta.hapa navyopata picha akilini mwangu . yan nakuona kama kavulana fulaani kalaiini mpaka kutembea( nisamehe kama nitakukwaza) ila ushauri wangu kama uko hivo hebu tafuta muonekano wa kiume, fanya na mazoezi ya kutosha ukakamae.

Aisee, hunijui sikujui tayari ushanijua hadi uvaaji wangu? Una akili timamu kweli wewe?
 
Takukuru ya nini wakati chuoni kila mwanafunzi ana academic supervisor na kuna Dean of students ambaye ndiye dhamana ya kuangalia welfare yao chuoni? Bado kuna uongozi wa Chuo?! Hivi mwanaume unashikwaje tako? 23 yrs old kweli? Afu ndo uje JF badala ya kwenda kwenye uongozi wa chuo?! Huyu angekuwa mwanangu nikimhurumia sana anakula risasi straight. Mtu asiyeweza kujipigiania wa kazi gani?
Anyway, ninachoona hapa ni mwanafunzi anajifunza namna ya kuandika riwaya. Tusichoshwe humu.

Kiufupi huna akili wewe. Unaandika kama unawahi kwenda haja kubwa?
 
Ko unaombwa tigo
Heshima yenu wakuu, niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu.

Kwa kujitambulisha, mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X, kuna wakati Lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking alinispot na mimi naelekea hostel.

Akaniomba nimbebee makablasha aliyokuwa nayo mkononi, nikafanya hivyo hadi kwenye sehemu ilipopaki gari yake then akanisihi kuna kazi ipo pending ofisini ni msaidie kutokana na yeye kuwa na majukumu mengi, anafundisha hadi masters.

Akaniomba nimpe namba ili anitafute siku nikiwa nina ratiba loose nikafanye hiyo task. Kuna siku nikaona caller ID yake inapiga, nikapokea alafu akanieleza kama nipo free niende kufanya task aliyoniomba hapo awali.

Sikuwa na ratiba ngumu hiyo siku, nikamwambia naibuka muda si mrefu. Nilifika nikamkuta yupo peke yake akanipokea vizuri then akanipa task ya kujaza matokeo ya madogo kwenye excel. Nilimaliza kwa wakati, akanishukuru sana kwa kunipa pesa ya lunch nikataka nikatae ila alinisihi sana basi nikapokea 20k.

Baada ya hapo alijenga ukaribu na mimi, ni Lecturer alikuwa hana mazoea na wanachuo na alikuwa anaogopeka kwa ukali. Iliwashangaza wanadarasa kuona ninaweza kuongea naye hata kwa njia ya simu kumuuliza kama atakuja au lah!

Ilikuwa majira ya saa kumi na mbili nikaona simu yake inanipigia, alikuwa ananitaarifu nifike ofisi kwake mara moja kisha nikafanya hivyo. Nilifika inaelekea kumi na mbili na nusu nikamkuta yupo ana type kwenye PC yake akavuta kiti nikae pembeni yake ili na mimi nitazame anachotype
Kwakweli niliingia na kauoga kukaa kando yake.

Akawa ananifundisha jinsi ya kuandika research, ikapita muda akazima PC then akanyanyuka kwenda mlangoni akafunga mlango hapo mapigo ya moyo yalienda mbio gafla, ila sikuwa na jinsi ya kufanya nimeganda nasubiria kitakachojiri.

Akarudi na kunitaka nimfuate usawa wa dirisha alipokuwa anatazama nje, baada ya kufika hapo akaniangalia kwa umakini then akaja kunishika matackle aisee sijui anadawa au nini nilikuwa nimeganda tu.

Akatamka fulani, una makalio mazuri kweli kweli, wakati huo alikuwa ameshaniachia nikamwambia nataka niondoke, akanisogelea akiwa ametoa simu mfukoni akanionesha simu banking ile app ya CRDB, akaniambia nakupa 3M sasahivi ukiweza kunipa nilichokishika.

Nikamwambia hapana, akaelekea kufungua mlango huku akinionya kwamba nisithubutu kumwambia mtu yeyote kile kitendo, alikuwa amefura sana ndani ya dakika chache.

Alipofungua mlango nikajikataa hadi hostel huku nikiwa nipo dilemma sijui la kufanya.

DILEMMA

Baada ya tukio lile hakuniita ofisini ila kuna siku baada ya kipindi aliniona akaniita nimfuate tukaenda hadi parking akaniambia nijitafakari kuhusu alichoniomba na nikumbuke yeye ndio mtu mwisho mwenye hatma ya matokeo yangu na nitakuwa naye hadi namaliza.

Hicho kitu kinaninyima amani saivi, hicho alichoniomba sijawahi kufanya, ni kitendo cha aibu kwa uanaume wangu na pia kiimani na kijamii haikubaliki. Nifanye nini bandugu?

Nakaribisha maoni yenu, I don't care kama atasoma hili bandiko au lah.
 
Hakuna mtu anayeweza kumtongoza dume mwenzake kama hajaona viashiria vya ushoga ndani ya damu yako, ata unavyoandika tu naona hapa hakuna mwanaume, ungekuwa umekaa kiume hasingejaribu kukufanyia ushenzi wa hivyo.
Nakushauri jitafakari jinsi ulivyo na matendo yako ka sivyo jiandae kutoa tackle hilo.

Punguza shobo post za watu wewe.

Ungekuwa wa kiume ungekausha bhasi, the fact umekuja kudandia post inaonekana huna shughuli muhimu za kufanya. Ndio nyie mnagombania remote kwa shemeji na watoto wa dada?
 
Hakuna mtu anayeweza kumtongoza dume mwenzake kama hajaona viashiria vya ushoga ndani ya damu yako, ata unavyoandika tu naona hapa hakuna mwanaume, ungekuwa umekaa kiume hasingejaribu kukufanyia ushenzi wa hivyo.
Nakushauri jitafakari jinsi ulivyo na matendo yako ka sivyo jiandae kutoa tackle hilo.
Hakuna mtu anayeweza kumtongoza dume mwenzake kama hajaona viashiria vya ushoga ndani ya damu yako, ata unavyoandika tu naona hapa hakuna mwanaume, ungekuwa umekaa kiume hasingejaribu kukufanyia ushenzi wa hivyo.
Nakushauri jitafakari jinsi ulivyo na matendo yako ka sivyo jiandae kutoa tackle hilo.
Mtu kakushika tackle umetulia tu kisa Lecturer! Hakuna mwanaume wa hivyo aisee. Nikajua labda jamaa anasoma masters, kama degree Lecturer mmoja anawezaje ku holds maisha yako ya chuo? mi nishawahi kuona mdada kakaza kwa Lecturer pamoja na vitisho vyake vyote,kumpa sup lakini hakutoa mzigo na mwisho akashinda. Mwanaume unashikwa *** umetulia!
 
Kwahiyo tukusaidie nini?
 
Hata marehemu Christopher Mtikila aliwahikufanyiwa hilo tukio la kuvua utu wake. Au ulikuwa unalamba kamasi kipindi hicho?
Kuna vitu vya kuomba ushauri mkuu, labda kama unatania tu kuchangamsha jukwaa ila ikiwa upo serious basi una tatizo kubwa sana kama mwanaume.

Umelelewaje wewe? Daah!

Au una ajenda zako tu humu jukwaani?
 
Unakubaliana na mimi watu tunatofautiana? If yes, kwanini ulazimishe mimi na wewe tuwe na mitazamo sawa?
 
Yes, tunatofautiana lakini tukisimama kama wanaume lazima tuwe na vitu common hasa kwenye maamuzi. Unabakije njiapanda sasa hapo kwa tukio kama hilo?
 
Back
Top Bottom