Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

Heshima yenu wakuu, niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu.

Kwa kujitambulisha, mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X, kuna wakati Lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking alinispot na mimi naelekea hostel.

Akaniomba nimbebee makablasha aliyokuwa nayo mkononi, nikafanya hivyo hadi kwenye sehemu ilipopaki gari yake then akanisihi kuna kazi ipo pending ofisini ni msaidie kutokana na yeye kuwa na majukumu mengi, anafundisha hadi masters.

Akaniomba nimpe namba ili anitafute siku nikiwa nina ratiba loose nikafanye hiyo task. Kuna siku nikaona caller ID yake inapiga, nikapokea alafu akanieleza kama nipo free niende kufanya task aliyoniomba hapo awali.

Sikuwa na ratiba ngumu hiyo siku, nikamwambia naibuka muda si mrefu. Nilifika nikamkuta yupo peke yake akanipokea vizuri then akanipa task ya kujaza matokeo ya madogo kwenye excel. Nilimaliza kwa wakati, akanishukuru sana kwa kunipa pesa ya lunch nikataka nikatae ila alinisihi sana basi nikapokea 20k.

Baada ya hapo alijenga ukaribu na mimi, ni Lecturer alikuwa hana mazoea na wanachuo na alikuwa anaogopeka kwa ukali. Iliwashangaza wanadarasa kuona ninaweza kuongea naye hata kwa njia ya simu kumuuliza kama atakuja au lah!

Ilikuwa majira ya saa kumi na mbili nikaona simu yake inanipigia, alikuwa ananitaarifu nifike ofisi kwake mara moja kisha nikafanya hivyo. Nilifika inaelekea kumi na mbili na nusu nikamkuta yupo ana type kwenye PC yake akavuta kiti nikae pembeni yake ili na mimi nitazame anachotype
Kwakweli niliingia na kauoga kukaa kando yake.

Akawa ananifundisha jinsi ya kuandika research, ikapita muda akazima PC then akanyanyuka kwenda mlangoni akafunga mlango hapo mapigo ya moyo yalienda mbio gafla, ila sikuwa na jinsi ya kufanya nimeganda nasubiria kitakachojiri.

Akarudi na kunitaka nimfuate usawa wa dirisha alipokuwa anatazama nje, baada ya kufika hapo akaniangalia kwa umakini then akaja kunishika matackle aisee sijui anadawa au nini nilikuwa nimeganda tu.

Akatamka fulani, una makalio mazuri kweli kweli, wakati huo alikuwa ameshaniachia nikamwambia nataka niondoke, akanisogelea akiwa ametoa simu mfukoni akanionesha simu banking ile app ya CRDB, akaniambia nakupa 3M sasahivi ukiweza kunipa nilichokishika.

Nikamwambia hapana, akaelekea kufungua mlango huku akinionya kwamba nisithubutu kumwambia mtu yeyote kile kitendo, alikuwa amefura sana ndani ya dakika chache.

Alipofungua mlango nikajikataa hadi hostel huku nikiwa nipo dilemma sijui la kufanya.

DILEMMA

Baada ya tukio lile hakuniita ofisini ila kuna siku baada ya kipindi aliniona akaniita nimfuate tukaenda hadi parking akaniambia nijitafakari kuhusu alichoniomba na nikumbuke yeye ndio mtu mwisho mwenye hatma ya matokeo yangu na nitakuwa naye hadi namaliza.

Hicho kitu kinaninyima amani saivi, hicho alichoniomba sijawahi kufanya, ni kitendo cha aibu kwa uanaume wangu na pia kiimani na kijamii haikubaliki. Nifanye nini bandugu?

Nakaribisha maoni yenu, I don't care kama atasoma hili bandiko au lah.
Rudisha 20k ya watu kwanza ndiyo ukamripoti
 
Hapo kuna dillema gani, mie nikajua yeye ndo alitaka kukupa hiyo ndo ingekuwa dillema. Hapo ni kumwekea mtego anase kwisha kazi.

Ila unaonekana unawaza kumpa
Umpe mtu mtego wa kubanduliwa?? Hakuna mtwgo wa hivo,ni kuwa mkali tu na kumpiga biti yeye aache mambo ya kisenge awafuate machoko wamejaa kibao,na akikufelisha atakutambua,hakuna utani wala kuigiza kwenye suala la uanaume wako,ni kumchana tu,kama unakunywa mnywee mchane,akiamua kukufelisha akufelishe!!
 
Dogo linda tunu yako kuliko kitu chochote,kubanduliwa ni fedheha kubwa sana kwa mwanaume kuliko kitu chochote kile,degree haina thamani mbele ya uanaume wako,kwanza umekaaje kaaje mpaka mtu afikirie kukubandua?? Rekebisha mwnendo wako,basha sikuzote anamfuata mtu anayeelekea kuliwa!!!
 
Heshima yenu wakuu, niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu.

Kwa kujitambulisha, mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X, kuna wakati Lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking alinispot na mimi naelekea hostel.

Akaniomba nimbebee makablasha aliyokuwa nayo mkononi, nikafanya hivyo hadi kwenye sehemu ilipopaki gari yake then akanisihi kuna kazi ipo pending ofisini ni msaidie kutokana na yeye kuwa na majukumu mengi, anafundisha hadi masters.

Akaniomba nimpe namba ili anitafute siku nikiwa nina ratiba loose nikafanye hiyo task. Kuna siku nikaona caller ID yake inapiga, nikapokea alafu akanieleza kama nipo free niende kufanya task aliyoniomba hapo awali.

Sikuwa na ratiba ngumu hiyo siku, nikamwambia naibuka muda si mrefu. Nilifika nikamkuta yupo peke yake akanipokea vizuri then akanipa task ya kujaza matokeo ya madogo kwenye excel. Nilimaliza kwa wakati, akanishukuru sana kwa kunipa pesa ya lunch nikataka nikatae ila alinisihi sana basi nikapokea 20k.

Baada ya hapo alijenga ukaribu na mimi, ni Lecturer alikuwa hana mazoea na wanachuo na alikuwa anaogopeka kwa ukali. Iliwashangaza wanadarasa kuona ninaweza kuongea naye hata kwa njia ya simu kumuuliza kama atakuja au lah!

Ilikuwa majira ya saa kumi na mbili nikaona simu yake inanipigia, alikuwa ananitaarifu nifike ofisi kwake mara moja kisha nikafanya hivyo. Nilifika inaelekea kumi na mbili na nusu nikamkuta yupo ana type kwenye PC yake akavuta kiti nikae pembeni yake ili na mimi nitazame anachotype
Kwakweli niliingia na kauoga kukaa kando yake.

Akawa ananifundisha jinsi ya kuandika research, ikapita muda akazima PC then akanyanyuka kwenda mlangoni akafunga mlango hapo mapigo ya moyo yalienda mbio gafla, ila sikuwa na jinsi ya kufanya nimeganda nasubiria kitakachojiri.

Akarudi na kunitaka nimfuate usawa wa dirisha alipokuwa anatazama nje, baada ya kufika hapo akaniangalia kwa umakini then akaja kunishika matackle aisee sijui anadawa au nini nilikuwa nimeganda tu.

Akatamka fulani, una makalio mazuri kweli kweli, wakati huo alikuwa ameshaniachia nikamwambia nataka niondoke, akanisogelea akiwa ametoa simu mfukoni akanionesha simu banking ile app ya CRDB, akaniambia nakupa 3M sasahivi ukiweza kunipa nilichokishika.

Nikamwambia hapana, akaelekea kufungua mlango huku akinionya kwamba nisithubutu kumwambia mtu yeyote kile kitendo, alikuwa amefura sana ndani ya dakika chache.

Alipofungua mlango nikajikataa hadi hostel huku nikiwa nipo dilemma sijui la kufanya.

DILEMMA

Baada ya tukio lile hakuniita ofisini ila kuna siku baada ya kipindi aliniona akaniita nimfuate tukaenda hadi parking akaniambia nijitafakari kuhusu alichoniomba na nikumbuke yeye ndio mtu mwisho mwenye hatma ya matokeo yangu na nitakuwa naye hadi namaliza.

Hicho kitu kinaninyima amani saivi, hicho alichoniomba sijawahi kufanya, ni kitendo cha aibu kwa uanaume wangu na pia kiimani na kijamii haikubaliki. Nifanye nini bandugu?

Nakaribisha maoni yenu, I don't care kama atasoma hili bandiko au lah.
Unatamani kuhongwa kama dada zako sio?, Sasa mwambie akupe hio M3 akujengee nyumba akununulie gari ya kutembelea, akuweke na ndani kabisa na ndoa mkafunge ili umkabizi shundu Hilo vzr, ilikusudi ufanane na dada zako kabisa
 
Ukiwa na maana gani ?
What does the ampersand mean in LGBT?

When LGBT employees are allowed to be our authentic selves at work, it resonates throughout our lives and helps to create change. The new ampersand symbol represents the power of diversity. It represents the power to change the world when we are included & allowed a seat at the table. Our identities are never singular.
 
Bro,upo Masters unamuogopa Lecturer mpaka kufikia hatua ya kukushika tako? Hapana,kuna kitu hakipo sawa. Labda anajua wewe ni wa hivyo unambania yeye tu. Kwanza kwanini ulikuwa unatetemeka kama ulikuwa unajua kinachoenda kutokea.
 
Shirikisha takukuru
Takukuru ya nini wakati chuoni kila mwanafunzi ana academic supervisor na kuna Dean of students ambaye ndiye dhamana ya kuangalia welfare yao chuoni? Bado kuna uongozi wa Chuo?! Hivi mwanaume unashikwaje tako? 23 yrs old kweli? Afu ndo uje JF badala ya kwenda kwenye uongozi wa chuo?! Huyu angekuwa mwanangu nikimhurumia sana anakula risasi straight. Mtu asiyeweza kujipigiania wa kazi gani?
Anyway, ninachoona hapa ni mwanafunzi anajifunza namna ya kuandika riwaya. Tusichoshwe humu.
 
sorry mkuu au una vijielement vya kike kike .jibadilishe mwonekano wako asee. haiwezekani mwanaume nikimaanisha mwanaume haswa acha hawa wanaopaka poda na kuvaa vile vijikaptula vifuupi, ukatamaniwa na mwanaume mwenzio. ulivyoanza kusimulia nikajua ke ndo kajileta.hapa navyopata picha akilini mwangu . yan nakuona kama kavulana fulaani kalaiini mpaka kutembea( nisamehe kama nitakukwaza) ila ushauri wangu kama uko hivo hebu tafuta muonekano wa kiume, fanya na mazoezi ya kutosha ukakamae.
 
We nae utakuwa upo kishoga shoga, unashikwa vipi makalio afu unakaa kinyonge? Mie ningemtembezea kichapo hadi ashindwe kutembea.
 
Hapo kuna Dilemma gani?
Huyo ametaka penzi na ni kosa kwa taaluma yake unachopaswa kufanya kama ulivyoshauriwa nenda Takukuru watakupa muongozo, lakini pia una wazazi na walezi unapaswa uwashirikishe pia usichukulie poa hilo jambo, kwanini mtu atumie vibaya dhamana aliyopewa? yan hapo ungekua Me au Ke bado haizuii huyo ticha kushughulikiwa,

Ushauri wangu, acha kujibu watu kwenye huu uzi umeomba ushauri umepewa kilichobaki ni wewe kuchukua kipi unaona kitakufaa.

Stay strong.
Penzi ni kumwanaume na mwanamke tu huyo mwanazuoni ni mlawiti na adhabu yake ni kupigwa mawe ya uso mpaka afe
 
Dogo linda tunu yako kuliko kitu chochote,kubanduliwa ni fedheha kubwa sana kwa mwanaume kuliko kitu chochote kile,degree haina thamani mbele ya uanaume wako,kwanza umekaaje kaaje mpaka mtu afikirie kukubandua?? Rekebisha mwnendo wako,basha sikuzote anamfuata mtu anayeelekea kuliwa!!!

Amini
 
Unatamani kuhongwa kama dada zako sio?, Sasa mwambie akupe hio M3 akujengee nyumba akununulie gari ya kutembelea, akuweke na ndani kabisa na ndoa mkafunge ili umkabizi shundu Hilo vzr, ilikusudi ufanane na dada zako kabisa

Nimekuona Upo obsessed sana na ishu ya pesa tangu comments zako za mwanzo.

Kama vipi nikuunge nae uchukue hizo pesa na vingine ulivyovitaji. Sawa?
 
Does English word has a single meaning?

Why did you ignore primary meaning and skip to that one?

It leaves me with no option but to say you gotta issues with your faculty of reasoning.
 
Back
Top Bottom