Ushauri: Kwenu kina dada wenye umri wa miaka 31-50

Huwa naingia jamii love connect kweny nyuzi za wadada wanaotafuta waume. Huwa nacheka sana siyo kwa dharau lkn najikuta nacheka kwa vigezo walivyoweka. Kuna mwingine alikuwa anaitwa kihuba vigezo vingi mwisho wa siki anatafuta mume wa kuzaa naye. Duh
Mtu anafika stage anasema anahitaji mpenzi mweny mapenzi ya dhati ha ha ha, anayejali. Shetani kuna wakati naye hujifanya mtakatifu. Upendo wa dhat hutoka moyoni mwa mtu, na huwezi kumlazimisha mtu awe na mapenzi ya dhati ila unaweza kumfanya au usimfanye mtu awe au asiwe na mapenzi ya dhati.
Ukiona wengi wanasema wanahitaji mtu mwenye upendo wa dhati, wengi wamechezea yaan walipendwa wakauchezea sasa wanakuja kutamalaki kumeshakucha. Utakuta mtu ana miaka 25 lkn anaweka vigezo utafikiri maombi ya kazi, angalau huyu wa 25, mwenye 30 huyo atajikuta ni mzee. Km ulikuwa na miaka 22-28 haujakutana naye mwenye vigezo vyako na unategemea umpate JF ni hatari sana. Ni sawa na kucheza biko au 3 mzuka.
DUH
 
Samahani kama nitakuwa nimekuudhi au nimekugusa au nimegonga kwenye point

Ila inasikitisha sana kuona Wadada waliovuka miaka 30 bado anatafuta bwana Handsome!

Ivi hivi vitu vya u handsome bado tu vina matter mwa msichana alievuka miaka 30 kweli?
Kwanini-why?
Kivipi-how?
Sawa najua wengi mnatafuta offspring nzuri watoto watoke vizuri and stuff but does it matter?
Mtoto si mtoto tu...

Hivi mpaka umevuka miaka 30 na haujaolewa au ni single mother bado tu unawaza kupata handsome men?

M
aisha uliopitiaaaa na maisha ya watu ulioona waliopitiaaa unayoyajuaaa na stori nyingi za money penny ulizosomaa bado tu unataka handsome men?

Napenda kuwasaidia na kuwakatisha tamaa na siwasemi vibaya "Handsome Men" to God be the Glory kwa uumbaji lakini wanaume handsome wanakuwaga VIPUSA balaaa! huku mtaani tunawaita VITOBI

Na unajua kwanini wanakuwaga na behaviour za namna hii:
1. vitandani wabovu (samahani kusema haya)
2. Kila mwanamke anamtaka so hana shida saana na mwanamke sana sana atakuumiza tu
3. Hela anaipata muda wowote maana anajua majimama ya kulea ipoo inaweza ikaigharimia nyumba... gari... hela

4. Wavivu Bala. .ingawa so wote ila wengi wao Wavivu wananataaa, wasafiiii we acha! Utadhani waliumbaga mtu

Jamani nikiongelea handsome men naongelea wanaume handsome kweli kweli... sio hii misemo ya mashosti kusifiana kwa unafiki na kutiana moyo "oh bwana wako mzuuuri, bwana wako handsome" hapana.. Handsome nayosema mimi ni handsome hapana akipita mpaka mamayako mzazi anageuka..

Kwani hamjifunzi kwa Jacqueline Wolper, keshatua 31 anaona yeyote sawa tu bora machine iwepoo pesa atatafuta KWANI TSH NGAPI?

My dear Ladies kama umeshavuka 30 wewe mwombe Mungu tu upate mwanaume anaekupenda, anaekujali, anaekuthamini wewe na familia yako, atakaeiangalia familia yako na ya wazazi wako, na POCHI baaaas...

Na wanaume wengi ambao sio ma handsome wanakuwaga na MAWE - HELA vibaya mno basi tu hamwelewi

Kama mimi Msukuma wangu sura kama nanilihuu ila POCHI BABABA... MACHINE BABAAA... naenda wapi KISHUMUNDU au?

Kiru

Wadada Mbadilikeee... Saa inagongaaa Nuru za nyuso zenu zinafifia mtaanza kuitwa mabibi kwa kutafuta Handsome Men..

Kwani wanaume wasio handsome sio mwanaumee? tena wanakuwa watamu balaa...

Nikikaaga na mademu nikiskia wanaongelea habari sijui za handsome men sijui bwanangu handsome nanyanyuka nasepaa maana ni ujinga mtupu nawaona hawana akili.... kwa mtu kama mimi niliekalia mitarimbo yote hunitaftishi HANDSOME MEN.. kwanini? ...nimesahau nini? Dyu Dyu zenyewe zimepoooaaa... alafu mnataka nikapange watu jamani naombeni mje kwenye vikao naolewaa? kiru... sio mimi asee

Mwanaume MACHINE... Mzeee Baba bila MACHINE akale akalaleee... Sura hata MBUZI ANAYOOO

Ni hayo tu kwa leo; Mkimaliza mje na huku nimeshashusha Hadithi

Story: Money Penny ni nani lakini?!

Chukua bia kwa mangi apo nakuja kulipaa
 
naona umeona bora uwachane
kabisaaa

Mkuu unashusha jiwe gizani, halafu unawapa na burudani kidogo.

Hatari sana. Lakini sijui kama watakuelewa, zaidi utaambulia matusi tu.
oh matusi sikuhizi napata helaaa... njoo huku usikilizee

mje na huku USHAURI: UKIMTUKANA MTU SASA HIVI JELA MIEZI 6...

dah naonaga uzushi kuitwa handsome sipendagi ila naitikia kzushi kwa hao mademu thank you...ila hapo uongo tu kudanganyana...hayo mambo ya watoto yani mabinti ambao bado hawajakomaa ubongo..ndio mahandsome yamewajaa sana.......mdada anayejitmabua anataka mwanaume anayejitambua msafi na anajua kutendea haki kitandani...na mengine y wajibu...awe sasa sjui handsome ndo wale wanaopaka powder au...!?
au kunywa maji kama RAY wawe weupee ... ahahahah

uje na hukuu mje na huku USHAURI: UKIMTUKANA MTU SASA HIVI JELA MIEZI 6...
 
UHANDSOME WANGU UMENIFANYA NIWATAFUNE WANAWAKE WWNG MNO

TENA WENGNE WANAJITONGOZESHA WENYEWE

WENGI WALIJARIBU KUOMB ETI NIZAE NAO

NIKASEMA HAPANA, UNAZAAJE NA MTU AMBAYE HUNA UHAKIKA ATAKUWA MKEO?

SIJUI KWANN WANAWAKE MNAHANGAIKA NA HANDSOME MEN/BOYS

KUNA MMOJA YEYE ALINIWEZA AKAKAMATA MIMBA HALAFU HAKUNAMBIA, KUJA KUSTUKIA MIMBA INA MIEZI 7

AKAPATA MAPACHA WAWILI MIDUME, ASWEHHHH MIHANDSOME HIYO, HUYU NDYO ALINIWEZA... MWENYEWE NDO ANAJSKIA RAHA SHENZI SANA ILA ana wivu mno.
 
aisee hongera
naona kila mkali na mkali wake!
safi sana
 
Dada mkuu umedondosha bomu la nuclear kwa wenzio. Ngoja waje niwaone hapa
hahaha wanaanzaje naskia wamenifungulia pm wananisema waniseme sana kwani tangu wameanza kunisema nimekatika kidole?!
chai! ndio kwanza nazunguka dunia
 
Af wewe mbibi sijui una nini kuongelea chini tuuuuu! hilo jamaa lako lina kusoma kweli?

Nione kwa ushauri
 
Af wewe mbibi sijui una nini kuongelea chini tuuuuu! hilo jamaa lako lina kusoma kweli?

Nione kwa ushauri
Si Bora Mimi Nina mume na wajukuu 5 wanaonisoma
We hata basha la kukuzoom huna 😂😂😂
Achana na mimi, hujazuiwa na JF kuongelea habari za chini, kama unaona nafaidi na kujulikana nigawe Kwa mweshimiwa 🏃🤸🏃
#ukinunuaUgomviKwanguKubaliKupokeaChenji
 
Si Bora Mimi Nina mume na wajukuu 5 wanaonisoma
We hata basha la kukuzoom huna 😂😂😂
Achana na mimi, hujazuiwa na JF kuongelea habari za chini, kama unaona nafaidi na kujulikana nigawe Kwa mweshimiwa 🏃🤸🏃
#ukinunuaUgomviKwanguKubaliKupokeaChenjia
Nilijua tu wazaramo wa kisarawe, kwa maneno ya chini utawajua tu haya, umedoda

kumbe hata mabasha wana camera za ku zoom!

makubwa lete jingine mama.
 
Nilijua tu wazaramo wa kisarawe, kwa maneno ya chini utawajua tu haya, umedoda

kumbe hata mabasha wana camera za ku zoom!

makubwa lete jingine mama.
Ndo ivyo mama
Spaghetti kauzie Dubai, Tz tunafanya KAZI💪
 
Nimejifunza vitu vikubwa sana kama hivi;

1, Wadada wazuri, warembo siyo waropokaji, confrontations za hovyo hawanazo uthubutu, wana aibu fulani hivi, kwa sababu hawayajui mabaya kivile. wana asili ya kupendwa na kila mtu, ke / me, na watoto pia kuanzia nyumbani mpaka shuleni ofisini nk, anaimbiwa uzuri tuuu kila siku, tangu utotoni, '' wewe mzurie'' anatongozwa sana sana ukubwani na kila mwanaume wa size yake. kazi kwake tu kukubali au kukataa.

2. Ni wapole kwa asili, lugha tamu nzuriii, mfano mzuri Dada Ramla wa Salama Pharmacy kariakoo.

3.Wanaogopowa na baadhi ya wanaume, hasa sababu ya kupendwa na wengi, ila wakikaza kamba unampata.
ukimtanguliza mbele kidogo tu makonda wanamtania eeh! we dada mzuri!
4. Offer si za kujilengesha, ila popote pale unakubalika, wenye dada warembo mnalijua hili yaani ukiwa na dada, au binti mrembo utajulikana mtaani, lazima. na utapendwa.
nani hajaona hili?
Kimbembe ni wale wabaya wa sura za umbo la TANGAWIZI na Elimu za kumulika kwa tochi, wasiyo na bahati ya kutongozwa , ee banae utawajua tu, ukijaribukumsemesha kidogo, ''Anty samahani kidogo nakuomba '' weeee! haoni tabu kutoa mijitusi ya reverse. anadhania unamsanifu kwa jinsi alivyo mbaya, and she is comfortable about it, yaani amezoea kwa ubaya ubaya tu, tangu sura na mazingira ya nyumbani kwao. shuleni.nk, hata hajui wengine ni Mungu yeye anakashfu tu, nasema ''tubu! ''

Nawapenda sana wana saikolojia wanasema ''maneno huumba '' ni kweli kabisa...mmm! lkn pia It has been prophesied long time ago that Kinywa cha mtu hunena yaujazayo moyo....h
.kila la kheri!
 
Sauwa😂😂😂🏃🤸🏃
 
Back
Top Bottom