Ushauri: Kwenu kina dada wenye umri wa miaka 31-50

Mimi kama mmoja ya wazazi kamati ya CCM Taifa sina huruma kwenye ujinga na kupotezeana mudaa

Watoto wa kike sisi mayai baba mayai kwenye uterus ukishagonga 31 yanaanza kukimbiaaa ohooo!

We cheka kwasababu mwanaume hata miaka 50 unafyatuaa sio mwanaume

SINA HURUMA MZEE BABA... SINAAA

Hahah!!..
 
sawa... sisi tunakula NCHI acha wakagueee mwisho wa siku wanaangukia kwa DOGO JANJAA!... tuongozane basi...

my uje na huku handsome wangu Story: Money Penny ni nani lakini?!
Huwa naingia jamii love connect kweny nyuzi za wadada wanaotafuta waume. Huwa nacheka sana siyo kwa dharau lkn najikuta nacheka kwa vigezo walivyoweka. Kuna mwingine alikuwa anaitwa kihuba vigezo vingi mwisho wa siki anatafuta mume wa kuzaa naye. Duh
Mtu anafika stage anasema anahitaji mpenzi mweny mapenzi ya dhati ha ha ha, anayejali. Shetani kuna wakati naye hujifanya mtakatifu. Upendo wa dhat hutoka moyoni mwa mtu, na huwezi kumlazimisha mtu awe na mapenzi ya dhati ila unaweza kumfanya au usimfanye mtu awe au asiwe na mapenzi ya dhati.
Ukiona wengi wanasema wanahitaji mtu mwenye upendo wa dhati, wengi wamechezea yaan walipendwa wakauchezea sasa wanakuja kutamalaki kumeshakucha. Utakuta mtu ana miaka 25 lkn anaweka vigezo utafikiri maombi ya kazi, angalau huyu wa 25, mwenye 30 huyo atajikuta ni mzee. Km ulikuwa na miaka 22-28 haujakutana naye mwenye vigezo vyako na unategemea umpate JF ni hatari sana. Ni sawa na kucheza biko au 3 mzuka.
 
Aha ahaha Biko Biko Biko

Uje na huku mzee baba hali inatishaaa SWALI: NANI ANAFUATA?!...
 
Katika siku umenifurahisha basi ni leo money Penny

Madini ya leo ni zaidi ya tanzanite nakwambia

Wanaume wengi wasio mahb ni wanajua kupenda kubembeleza ukilia kidogo ushaitwa mama ushabebwa mgongoni ushapewa kifuta machozi ukimpa paaapa sasa anaisimamia haswaa anaila km akimbie nayo vile

Sasa mamii nikupe zawadi gani?? Leo umenipa raha jamani
 
Ahahaahha asante
Nataka vocha ya halotel ya elfu 10 tu

Afu Uje huku mwimba papa analiaa kafungiwaa ni sheedah SWALI: NANI ANAFUATA?!...
 
Uko sawa kabisa mwanaume pesa na mashine uzuri hata mbuzi anao bwanaaa
Hahaha

Hahaaaaaaa sasa naona unataka mimi mwenye sura mbovu nipate soko!!.

Asante Money Penny ..nmekumis kuleeee
Ukujeee

Ushaur mzuri sana.
Asante

Vepe

Mh! Humu kuna mambo!
Sanaa

Uko sawa kabisa mwanaume pesa na mashine uzuri hata mbuzi anao bwanaaa
A ahaha

Mje na hukuu Search Results for Query: Money penny ni nani lakini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
 
Mkuu unashusha jiwe gizani, halafu unawapa na burudani kidogo.

Hatari sana. Lakini sijui kama watakuelewa, zaidi utaambulia matusi tu.
 
dah naonaga uzushi kuitwa handsome sipendagi ila naitikia kzushi kwa hao mademu thank you...ila hapo uongo tu kudanganyana...hayo mambo ya watoto yani mabinti ambao bado hawajakomaa ubongo..ndio mahandsome yamewajaa sana.......mdada anayejitmabua anataka mwanaume anayejitambua msafi na anajua kutendea haki kitandani...na mengine y wajibu...awe sasa sjui handsome ndo wale wanaopaka powder au...!?
 
Back
Top Bottom