Ushauri: Kwenda kusoma Iran

kaka chige chuo chenyewe ni Tehran university of medical sciences(TUMS)
 
kaka chige chuo chenyewe ni Tehran university of medical sciences(TUMS)

aiseee hiki ni bonge la chuo na kinashika namba 400 duniani kwani ni moja ya chuo kikubwa irani ingekuwa ni mimi nisingejuiliza mara mbili.
kwa middle east baada ya israel inafuat irani kwenye ishu za elimu hii ni kwa mujibu wa tafiti za Trends in international Mathematics and Science Study (TIMSS).

Tehran university of medical sciences ranks
  • Academic Ranking of World Universities (ARWU/Shanghai Ranking)[10]
    • 2009: International rank : 402-501
  • kwa mimi binafsi nakushauri uende tu kama swala ni elimu
Tehran University of Medical Sciences - Wikipedia, the free encyclopedia
 
swala nielimu tu kaka cfati mengne,ish ya usalama ndo ilikuwa inanpa wenge ndomana nikaona niwaulze uenda iran mnaaidia nayo vizur
 
hata mimi nilishangaa sana profesa mkandara kutumia 4iuc kama kigezo wakati shanghai ranking vyuo vya africa kwenye 1000 unatafuta kwa tochi tena vyuo vyenyewe ni kutoka south africa.
 
so TUMS kiko vizur kaka?
hata mimi nilishangaa sana profesa mkandara kutumia 4iuc kama kigezo wakati shanghai ranking vyuo vya africa kwenye 1000 unatafuta kwa tochi tena vyuo vyenyewe ni kutoka south africa.
 
Mkuu, nenda ukasome huko, Nauwe Balozi wa TZ kwa sifa zakoo nzuri...Tuwakilishe waBONGO!! Be Blessed.
 
Majibu unayoyapata humu ya kukutisha ni sawa na yule jamaa aliyeko Ujerumani aliyeuliza kwenye social media yao kuhusu kwenda Tanzania kutalii, akawa anaambiwa usijaribu katu, kuna ugonjwa wa Ebola ni balaa..maiti zimetapakaa kutoka Dar hadi Arusha barabara nzima ni maiti tu....jamaa akaacha kuja..ndio sawa na hao hapa wanaokuwambia ili uende Iran lazima uwe Muislam and that kind of b/s.
 
hahaha sawa kaka bravo mikeiyo nmeipenda
 
kaka chige chuo chenyewe ni Tehran university of medical sciences(TUMS)
Wakati data alizoweka thesym zinaonesha ni chuo cha 400 duniani, watukutu Times Higher Education wamekiweka kwenye 600 bora duniani (sio cha 600)... means kinaweza kuwa popote kati ya 500-600! Hawa Times Higher Education wana-complicate sana vitu na zamani walikuwa pamoja tu na hao QS ambao thesym ameweka data zake... walihitilafiana kwenye masuala ya methodology kwahiyo Times wakaamua kutengeneza ranking ya peke yao kv hawakukubaliana na QS! So, either way, kiwe ni among top 400 according to QS or Top 600 according to THE, hicho ni bonge la chuo na Times hivi ndivyo wanavyokielezea:
 
asante kaka chige apa sasa na data zlzokamilka naweza sema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…