Lastbornson
Member
- Jan 21, 2018
- 87
- 49
Salaam, naomba ushauri, Nina ndoto za kuwa engineer lakini advance yangu haikuwa nzuri kuniwezesha kusoma degree, nilisoma pcm, naomba ushauri wa njia bora ya kutimiza malengo hayo. Asante
Kuna kozi nimesikia inaitwa foundation course inatolewa open university of Tanzania, kuna MTU anaijua vizuri kwa undani? Anisaidie plz.Salaam, naomba ushauri, Nina ndoto za kuwa engineer lakini advance yangu haikuwa nzuri kuniwezesha kusoma degree, nilisoma pcm, naomba ushauri wa njia bora ya kutimiza malengo hayo. Asante
Matokeo yako yapovipSalaam, naomba ushauri, Nina ndoto za kuwa engineer lakini advance yangu haikuwa nzuri kuniwezesha kusoma degree, nilisoma pcm, naomba ushauri wa njia bora ya kutimiza malengo hayo. Asante