if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,089
.
Shauri ya umaskini, bongo kuna maskini wengi sana na ukikuta kidogo anazo hajiamini kwa vile pesa zenyewe kazipata kwa rushwa ila origin ni maskini wa kutupwa.Maskini wengi wana roho mbaya wewe fanya uchunguzi tuu utaligundua hilo. Comments zote humu negatives na ku generalized watu kua wote ni wezi na wauza unga. Mie huko bongo taenda kuzurura tu lakini kusema eti niishi Naaaa!!! nina mijengo na wapangaji huko lakini siwezi kuishi huko kabisa, Chuki na wivu ni mwingi sana. Weye angalia tu humu chuki iliopo kwa wanaotafuta maisha SA sasa ingia field kwenyewe bongo ni hatari.Na sijui kwanini? Mfano mzuri fatilia hizo coments kuanzia coment ya kwanza utaona tu yaani wana ubinafsi fulani hivi.. daah maisha haya daah
Shauri ya umaskini, bongo kuna maskini wengi sana na ukikuta kidogo anazo hajiamini kwa vile pesa zenyewe kazipata kwa rushwa ila origin ni maskini wa kutupwa.Maskini wengi wana roho mbaya wewe fanya uchunguzi tuu utaligundua hilo. Comments zote humu negatives na ku generalized watu kua wote ni wezi na wauza unga. Mie huko bongo taenda kuzurura tu lakini kusema eti niishi Naaaa!!! nina mijengo na wapangaji huko lakini siwezi kuishi huko kabisa, Chuki na wivu ni mwingi sana. Weye angalia tu humu chuki iliopo kwa wanaotafuta maisha SA sasa ingia field kwenyewe bongo ni hatari.
Pamoja na chuki, ila ukifika oale HILLBROW kuna Watz wapumbavu wengi sana, wanakaba kijinga, wanawakaba hata Watz wenzeo, au kuwatafutia watu wa kuwakaba. Sio vizuri, hata uwe na njaa kiasi gani usijaribu kumkaba mtu wa kwenu.Mifano mingi sana mtu anatoka kiwanja na uchumi mzuri akirudi home mara ugonjwa mara sijui nini! Mara amefariki ukifatilia ndugu na marafiki wamemloga chuki ikizidi inakuwa uchawi mara wanga wanakuloga kama sio kuwa mlemavu, mgonjwa wa kutupwa mara unakufa.. ilimradi tu usiendelee... basi tena pamoja na yote ndio ndugu zetu sasa tutafanyaje sasa nna mwanangu ana miezi mitatu tu katoka bongo baada ya kwenda kusalimia.. yaani kufika tu unaambiwa kakaa mtaani siku tatu tu akaanza kuumwa..
Yaani kakaa kitandani kama mwezi hivi hospital vigonjwa vidogo dogo kwa kawaida sio vya mtu kulala yaani kushindwa hata kutembea wakampeleka mahali kucheki.. Mzee ameambiwa kwanza kabla ya yote atakiwi kukaa hapo mtaani kwao cha pili ameambiwa akipona arudi alipotoka au aame kabsa hapo anapokaa.. yaaani walitaka kumdedisha... inasemekana jamaa alitokaga hapo mtaani kwao hana hata senti nyekundu baada ya kusafiri mambo ndio yamemnyookea..
Tupo nae huku ukitaka kugombana nae muulize bongo lini mwanetu.. bro anaweza hata asikuongeleshe akapanda gari akatembea dogo janja tu miaka 32-34 yaani mwananga.. kweli mtaani sio sema ndio home boy tena baba tunaishi nao.. kibishi
Pamoja na chuki, ila ukifika oale HILLBROW kuna Watz wapumbavu wengi sana, wanakaba kijinga, wanawakaba hata Watz wenzeo, au kuwatafutia watu wa kuwakaba. Sio vizuri, hata uwe na njaa kiasi gani usijaribu kumkaba mtu wa kwenu.
ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA.
Hata uwe na rafiki msouz lkn mtu wa home ndio atakusaidia kufika home bila shida
Tupendane.
Nasebenza Na Naumiza Ndonga, Maisha Mbio Mbio Kiwanjani Dizonga.. Bonge La Ngoma Aisee"Maisha ni safari tabu na mapambano, Maisha ni mitihani majibu kwenye mabano, Maisha ni misimamo"
"...sogea Cape ama Debeni, ukisikia bunduki soma dua sema Ameen!!"
DIZONGA.
Heshima maalim Nash.
-Kaveli-
Nenda Namibianilikuwa na mchakato wa kwenda SA December mmmh nime sita kwanza ngoja nifikishe hata million 5 kwanza halafu ndio niende siwezi kosa kabiashara cha kiaina aina
Mkuu wewe na familia mnaishi kwa visa ipi, vibali ?Wahuni kweli wapo vitoto vinavyoiba simu za mama zao, kukimbilia South, ndio wanakuja kupata tabu huku, wanakuwa wezi, wanalala nje jorberg uko na miji mingine mikubwa, wanatoka Tanzania Kuja kuangalia free way south, sio kutafuta maisha. Mzee mimi naishi kijijini lkn nashukuru nimeleta Familia yangu watoto wanasoma, mama nimemfungulia salon na biashara ndogo maisha tunayasongesha. Apo nna miaka 3 toka niingie South
Uhalifu sio kabisa ka SA, ila SA kama una connection ya watu legit unaweza kwenda pia
Visa on arrival utagonga bodaIvi unaweza kwenda SA bila y vis?
Ok hivyo haina ukomo wa kuisha ama?Visa on arrival utagonga boda
Inategemea umepewa miezi mingapi,mfano unaweza ukagongewa miezi 3, ikiisha inatakiwa utoke then uingie tena,au uombe asylum seekers.ukiipata hiyo itakuwa unagonga kila miezi 6Ok hivyo haina ukomo wa kuisha ama?
Kaka mimi ni Machine Operator kwenye vyombo vya Bandarini ila nataka kueenda kutafuta life South Africa naweza kupata Idear kuhusu kufika huko juu broInategemea umepewa miezi mingapi,mfano unaweza ukagongewa miezi 3, ikiisha inatakiwa utoke then uingie tena,au uombe asylum seekers.ukiipata hiyo itakuwa unagonga kila miezi 6
Unafuu wake ni upi ?Nenda Namibia