Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,726
- 18,237
Mkuu wazawa hawajawahi kukufitinia au kukuzuru toka uingie huko na mafanikio yote hayo ?Wahuni kweli wapo vitoto vinavyoiba simu za mama zao, kukimbilia South, ndio wanakuja kupata tabu huku, wanakuwa wezi, wanalala nje jorberg uko na miji mingine mikubwa, wanatoka Tanzania Kuja kuangalia free way south, sio kutafuta maisha. Mzee mimi naishi kijijini lkn nashukuru nimeleta Familia yangu watoto wanasoma, mama nimemfungulia salon na biashara ndogo maisha tunayasongesha. Apo nna miaka 3 toka niingie South
Maana hapo juu kuna jamaa anasifia fursa na maisha ya huko at the same time anatamani kurudi nyumbani kwa sababu wazawa na polisi wanamtamani kwahyo south Afrika mgeni ukifanikiwa ni mtihani utaishi kwa tabu za kukamiwa ?
Sasa kwa sisi tunaotaka kuzamia inakuwaje yaani uende nchi ya watu ufanye kazi kwa bidii ila kwenye kufaidi matunda yako iwe kero kwa wageni ? Maana nasikia pia wanawake wa kule wanaweza kukumaliza ili mradi abaki na mali hata kama mmezaa wote