CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,869
- 16,014
- Thread starter
- #21
Ok hapo sawa nimekupata mkuu. Na nimefurahi sana kuwa mna chama kabisa, i have brother of mine nae yuko huko, ntamwambia ajiunge maana ndio ustaarabu huu sasa.Sasa ilo la kukosa nauli, uyo muongo, watoto kibao wanozurula ovyo joz na miji mingine mikubwa huwa tunawatudisha kwa kuwachangia, wengine sio waaminifu wanakimbia, wengine hawataki wenyewe kurudi bongo. Wabongo wangapi wanakufa wanarudishwa bongo kwa michango yetu? Ukiona maiti imetoka South ujue imechangiwa mpaka kurudishwa. Na tunashirikana vzr Sana, na tuna Chama chetu kinaitwa TACOSA, em Google kidogo upate Habari zake. Hao wahuni wahuni wengine usichukulie kwamba ndio woote.
Nawashauri vijana wanaoenda huko South basi hiki chama kitakuwa msaada sana kwao.