mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Baada ya kuliangalia suala la ndugu zetu wa Bongo Movie kwa undani na hasa kupitia ushirikiano mkubwa wanaopewa na Ndugu Paul Makonda, naomba ushauri huu uzingatiwe ili kuokoa jahazi linalozama.
Bongo movie watambue kua wanatakiwa kutuvuta kwao na si kutusukuma mbali.