Ushauri kwa Wanyarwanda: Sioni kosa la Kikwete!

Ushauri kwa Wanyarwanda: Sioni kosa la Kikwete!

Kikwete awaombe radhi tu wanyarwanda mambo yaishe, kuliko misuguano inayoanza kuchipuka.

Kikwete karikoroga mwenyewe sasa linamtokea puani. Nafikiri Kikwete alidhani anaongea na wale wazee wa Dar ambao anawapaga pilau na buku tano ali waje kumsikiliza pale Diamond Jubilee akiropoka mashudu yake.

Chezea Kagame wewe!!!
Kafie mbali wee nani amuombe huyo muuaji radhi. Kama ndugu yako kamuombe radhi wewe akupe cheo kwani kazi yenu si kupigania madaraka tu. Kwanza huyo kagame wako anastahili kupelekwa the hague kwa ugaidi uliotukuka. Aliua marais wawili kwa mpigo, Habyarimana na yule wa burundi. Pia inawezekana mipango ya kumuua lawrence kabila ilifanywa na rwanda. Mauaji ya kimbari ya rwanda yalitokana na nini kama sio wehu wa kagame na watutsi wenzake kuvamia rwanda toka uganga. Wacheni upuuzi wenu.
 
Ushauri wa Kikwete ni mzuri sana kwa wanyarwanda wasikivu na wanaoona mbali mstakabali wa nchi yao. Lakini kwa kuwa viongozi wao ni watu wanaojidanganya kwamba watutsi ni watu maalum wa kuwatawala wahutu daima hawawezi hata siku moja kufikiri vinginevyo maana wamezaliwa na kukuwa wakiwa na taswira hiyo ya kipuuzi kwamba ni watawala daima. Ni vyema wakafanya mazungumzo kama walivyofanya wenzao wa Burundi. Watutsi wa Burundi walizindukana mapema wakaona ukweli kwamba hawawezi kutawala milele bila kuwashirikisha wahutu. Wanyarwanda wasipozinduka si muda mrefu watachunjana tena na labda ndio kitakuwa kipindi cha wahutu kutawala kwa chuki! Zungumzeni mpate amani la sivyo mtamalizana kwa visingizio visivyo na tija kwa watu wenu.
Kwa hili niko na JK, Dictator Kagame anaogopa meza ya mazungumzo kwa sababu kile anachoficha mauaji aliyowafanyia wahutu huko Kongo kama kulipiza kisasi yatawekwa kweupe! Sasa kumbe alivunja uhusiano na wafararansa walipotaka kuyachokonoa! Kagame is a leader of the second masacre of Hutu in DRC!! JK anakujua sana wala usinune!
 
nakubaliana na wewe moja kwa moja....

halafu wale watu wanaongea lugha gani? ukikutana nao wanasema kinaitwa kinyarwanda...hiki kina tofauti na kihutu au kitutsi? au ndo kitusi kimegeuka kuwa kinyarwanda..by virtual

jaribu kusomasoma kidogo siyo kushimda kwenye mitandao. hakuna kitusi au kihutu. wote wanazungmza kinyarwanda
 
Back
Top Bottom