miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
- Thread starter
-
- #61
Umeongea kitu cha maana saana .
Kama ungekua bunge spika angeaema Hoja yako ina mashiko.
Ila nataka nikueleweshe jambo moja.,iko hiviii ,
Mwanaume anapomwaproach mwanamke ,anavaa tabia husika ya mwanamke mwnyewe,mfano, ww Miss Chaga kakukuta unapenda siasa ,atakuja Akiongelea updates za Bunge na Mambo ya siasa.. Kama ww napenda habari za Macelebrities atakuja hivyo hivyo , yaani ni kama kinyonga ,atahakikisha anamartch na ww kwa namna unavyotaka ,ili tu akupate .
Mwanume hawezi ongelea jambo ambalo halikuvutii ,zaidi atakuboa.
Kuna wanawake hata ukiwauliza Raisi wa Tanzania ni nani ,anaweza kukuambia Ni Mkapa, mtu ka huyo ina maana siasa hazipendi,kuongea siasa na yeye ni kimchefua.
Hivyo basi ,jambo hili linaanza moja kwa moja na nyie wenyewe ,ni namna ipi mnajiweka mnapotongozwa. ??
" Miss Chaga" ww Atakayekutongoza ni lazima aje akiwa ana Msimamo wa Muundo wa Serikali unayoihitaji.
Na aweze kuutetea muundo huo.
nahisi kila mwanamke amekaa kimgegedo gegedo
then enjoy it be happy kugegedwa is natures switest gift as a matter of fact every everygal shuld enjoy being gegedwaring material
Wewe huyu!!!! Hujatendea haki ukweliHaaa sijawahi chat na wewe nikiamini hauko interesting..now najiuliza if I was wrong.....Nakuja jiandae na habari za gdp na uchumi wa dunia..ole wako ulete story za wema na kajala
Wewe huyu!!!! Hujatendea haki ukweli
Haiwezekani asiwe ashakupm mdogo wangu angalau mara moja. Ni siri ya Ndanianitendee haki sasa loh
Haiwezekani asiwe ashakupm mdogo wangu angalau mara moja. Ni siri ya Ndani
Kweli wewe mama mchaga pesa siasa nk sio mapenzi
Ila ki ukweli umetuchana haswa ili la kubusubusu mikono mimi nikiona mshikaji anafanya huwa nampunguza
ujumbe nimeupata kiongozi nitafanyia kazi,nitafute pv sms upate kuthibitisha kuwa ujumbe nimefanyia kazi .
nimeipenda hiyo
we mchaga nini unatakla jamaa aongelee mkwanja ili ujue namna ya kumchuna acha hizo..... of course kweli kila jambo na wakati wake im not sure kama kuna mtu ataongelea love connect all the time atakuwa bururaaaa....
Na nyie wanawake mko tofauti
Ww una
wewe malizia sentensi
What women want ....
Hata google huwa inachemka kutoa jibu sahihi....
Yaani kama ndo vigezo vyako hivyo Miss Chagga
Naanza kupiga msuli tembo ili niwefit.
Ila tu usiulize maswali kama polisi...
Namaliizia
Ww unavyovipenda kujadili ni tofauti na mwanamke mwingine...
Mngekuwa kama formula au pai..
Ingekuwa rahisi kwa ss wanaume kuapply ,
Unachukua data unachomeka kwnye formula .....walaaaaaaa
Jibu hilooo.
.... Hii ni kwa sababu kutongoza sio kazi rahisi,inabidi uwe na kaupeo kidogo ili usimchoshe mtongozwa,lakini pia inategemea na aina ya mazungumzo gani mko nayo kwa wakati huo na upeo wa huyo mwanaume.