Ushauri kwa wanaume

Kama sio I love you tutumie neno gani?Kama unatongozwa hilo neno lzm litumike!

Kama mnaongelea uchumi;bongo movies au maandalizi ya Taifa Stars na Zimbabwe hapo mnaenda nje kabisa ya love affairs

do action lakini si unaniimbia i love huku unanilamba mikono
 

Somo kubwa Miss chaga
 
Lets be serious here, mtu umemuona na ukampenda, huwezi mwambia hisia zako? Na hizo hisia atakuelewa kama ni za kimapenzi ikiwa utaanza kuleta story za mporomoko wa uchumi duniani ataelewaje kuwa umemzimikia.

Nachokubaliana na wewe ni kuwa mtu akishakubali kuwa mpenzi wako mnatkiwa mpanue wigo wa mazungumzo, familia yenu baadaye, sometime entertainment, na kuna muda utamwambia the way alivyomzuri na how lucky you are to have her.
 
Miss chaga umesema kweli,nothing entices me than an intelligent man...yani raha sana kuongea nae ,anajua mengi...

Entinces man kama hana hela utamuita punguani na hata akikuuliza tu umevaa nn utamkatia simu ahahahaah
 
hivyo vipengele nimeweka tu kuonyesha kuna mengi ya kuongelea instead ya kuganda kwenye swala la mapenzi zaidi
I beleive they are there but my worries are on time,resources, how we value each other, what we want out of that relationship and mind set!
 

sasa mkuu unakuta mwingine swala mtongozo tayari lakini unakutana nae tena anaanza nakupenda, mtot mzuri, unakalio kubwa wakati mimi ninaumbo la kichaga kalio ni mtihani ... hapo sasa ndo napo pata hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…