Ushauri kwa wanaume

Miss chagga anywayz sijui unakutana na watu wa aina gani..siwezi sema sana..ila mapenzi siku hizi naona ni magumu sana na yana aina nyingi..
 
Miss chagga anywayz sijui unakutana na watu wa aina gani..siwezi sema sana..ila mapenzi siku hizi naona ni magumu sana na yana aina nyingi..

Ni kweli mkuu ila nilitaka nyie mpo huku jf at least muwe tofauti kidogo loh..
 


Kuna wengine hawana karma ya kuongea, so itakuwa vyema ukimuanza wewe!!!
 
hapo tutaelewana sasa mwanaume unakuja kunilamba mikono huku ukiniambia i love u i hate that aisee

Kama sio I love you tutumie neno gani?Kama unatongozwa hilo neno lzm litumike!

Kama mnaongelea uchumi;bongo movies au maandalizi ya Taifa Stars na Zimbabwe hapo mnaenda nje kabisa ya love affairs
 
We ndo wa kwanza kumsikia ukisema hutaki kuch kuch hota hai....!

Kwa experience yangu wanawake ndo wanaongoza kuongea vitu vya kufikirika na vyakuigwa toka ng'ambo such as love relations, responsibilities za mpenzi ambazo hazina tija kichwa wala miguu na ziso-apply katika life yetu ya kibongo!

Kifupi huwa mnabore katika maongezi kwa asilimia 90 mpaka mtu una dought kama mpenzi aliwahi kuwa shuleni!

Embu kuwa muazi kwenye uchumi unataka kusikia nini? his financial power or position, or how he is going to finance your problems(rent, shoping, family problems back in the village) or country's economy or world's economy au kuhusu uchumi wa mwanaume mwenzake? like ohho Jamaaa ana hela yule!

Kwenye utamaduni unatakakusikia nini? Utamaduni wa familia yetu, tanzania, my chagga tribe? AU kabila gani hujui utamaduni wake ambalo limejichanganya na wengine?

Kwenye siasa unataka kusikia nini? Zkk kakataa kuhama chadema? Ko,mba atahamia msituni tukipitisha serikali tatu? Au serikali itapunguza bei ya umeme pindi ambapo bomba la gas litakamilika ambalo halijulikani ni lini lita kamilika may be 500 yrs?

NB; You first appearance and expressions, attitudes matters a lot for a man to value you high!

A man always tries to do or say what he thinks a woman wants, if he does the opposite then he wants to have a briefly and a short run relationship with you or he simply wants to bore you to give him a space!

Wanaume ni wasiri by nature about what they do or have, if he acts to openly to you he simply play with you mind or bluffing ....it also happen to married couples!
 
Miss chaga umesema kweli,nothing entices me than an intelligent man...yani raha sana kuongea nae ,anajua mengi...
 

Hao ndio wakina mama wa kichagga...
 

hivyo vipengele nimeweka tu kuonyesha kuna mengi ya kuongelea instead ya kuganda kwenye swala la mapenzi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…