Ahsante sana kwa kunialika kwenye uzi MY SOUL SURGEON, tatizo la uzi huu kina dada wanayo nafasi ya kuchangia zaizi kuliko sisi, ila sitokua mnyimi, nami nitatupiamo machache...
1. 6*6 haina sheria milikishi, wanao tunga sheria ni wachezaji wa uwanja huo.
2. 6*6 sheria zake zinabadilika mf. leo tunazima taa, kesho tunawasha mshumaa, kesho kutwa tunafanya mchana
3. 6*6 ni sehemu ambayo mapendekezo huwa yanaruhusiwa ila namna tu ya kupendekeza ndio inatakiwa iwe sahihi...
Wajuvi wengi humu wataongeza nyama