Kumbe bado hujaolewa ndio maana unasema hivyo wenzako walioko kwenye ndoa wanalilia kupigwa.Wee mi na mi nguvu balaa hafu mi siwezi kuwa na mwanaume asijielewa nikishamsoma saikolojia yake na mambo yake ka haeleweki namkimbia, sasa had huko kudundana hakunikuti hata kwa dawa