Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,602
Sina la kusema maana Upendo na ndoa vina siri kubwa. Mbarikiwe wadau.
Uwiiiiieee
We unajua kupigwa nini?sio makofi mama ukihitaji zaidi ni PMMhhh haka mwenzangu mie kupigwa hapana tushauriane tukiwa wote sie ni watu wazima.
we ni wakudundwa tu sababu hujitambuiKwanini wasiseme tuwapige wanaume vibao, mi mwanaume atakayenipiga hata kibao kutachimbika yani atanitambua
Haya mambo ni nani huwa anawadanganya?Kutoa kipigo ni tabia ya mtu na gubu lake.Akikushinda ni vema muachane.Kama ni kipigo kingine huku mnatabasamu ni sawa.Yaani umpige Mke wako uliyemtolea mahari mara moja tu kwa mwezi?
Are you serious?
Utaachaje kumweka mkeo ngeu kila wiki?
Wewe ni mwanaume wa dar bila shaka.
Kure kwetu Taarime usipompiga mwanamke vizuri anaenda kukushitaki ukweni Mura.
Jitahidi saana kumpigha mama.
Vita ni Vita Mura.
Akikuzingua mtafutie demu mkali kuliko yy..lazima atulize mshono... kupiga it's an old school smart people don't do that!
Kuna namna nyingi za upigaji. Ila kuwa na mahusiano mengi ni kujiumiza wew na roho yako. Vifungo vya roho hivo.Akikuzingua mtafutie demu mkali kuliko yy..lazima atulize mshono... kupiga it's an old school smart people don't do that!