ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Habari wana jamvi.....
Nimekuwa interested sana na hili jukwaa kwa sababu katika jamii forums naona ndo jukwaa la pekee kuliko majukwaa yote hapa jamii forum upekee huo unatokana na umoja tulio nao wa kusaidiana na kuelekezana watu wamekuwa na moyo wa kutaka kuelewa na wengi wamefanikiwa sana kupitia hilii jukwaa hongereni kwa hili hata mimi haya maswala ya electronics yamekuwa yakiongezeka day after day kila nikiingia humu sitatoka kama nilivyo ingia watu humu hakuna matusi na wala hakuna kugombana
Leo nimekuja na swala la movies wengi wana penda kuangalia movies lakini kukua kwa science na technology kumerahisisha upatikanaji wa movies kutoka kutumia CD kununua CD na vingine lakini sahizi mtu anaweza kupata movies kwa kudownload!
Nimeona watu wakiattach videos humu na vitu mbali mbali na mimi naamini movies nilizo nazo mimi mwingine anaweza kuwa nazo au asiwe nazo naweza kuhangaika kutafuta movie kumbe mwingine anayo sasa nilicho kuwa nashauri kama kuna thread itaweza kuw stick ningeomba mods waweke na kama inawezekana (samahani mimi sio mtaalamu sana) mtu akitaka movie basi kama mwingine anayo anacho fanya ni ku attache hio movie mtu akija ana download kirahisi na hii itasaidia mtu kupata movies nyingi na nzuri,pia kirahisi kuliko mtu kuzunguka kwenye internet na mwingine huenda aka shindwa kuipata kama anayo itaka lakini kupitia hii idea yangu mtu ataipata kirahisi
Kama idea yangu haijakaa vizuri naomba nisaidieni kuiweka vizuri na ugumu wake uko wapi ili tujue na kama inawezekana nini cha kufanya
Karibuni