Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Wakuu na mimi nina E E F ya PCB lakini nina A ya Divinity, vipi nitaweza kupata nafasi ya kusoma MD hapo UDOM?
sio siri historia yako ina sikitisha ... kasome´e uchungaji tu ndo lengo la MWENYEZI MUNGU , udaktari muachie ulimboka
 
humanities kuna swimming pool na gym nzuri sana

:cool2: naona kuna haja ya kuwa samaki mwaka huu ... swimmming pool ipo humanities?? na gym ?? aisee ... ntakuwa baunsa .... sasa mnaweka gym mtu ukibeba chuma zako chache ...ukijihisi misuli inawasha unapashia wapi ?? kuna punching bags?? au tunasubiri wezi tuwafanyie majaribio :A S wink:
 
Daah Humanities wanapendelewa aisee mbona everything good kipo kwao
acha tu tupendelewe bwana we unafkiri kusomea sheria kitu cha mzaha ?? uliza uambiwe sheria sio social science...we unawaza starehe za chuo?? sijui kama hata ukifika pale utapata hata muda wa kwenda kwa wajas:spit:
 
unamuuliza nani sasa

kato nimechunguza sana majibu yako :angry: UNA- MAJIBU YA OVYO !!! JIREKEBISHE MWANA .. kila mtu yupo hapa anatafuta msaada na hujui ameshapitia matatizo mangapi mpaka kufika kwenye kurasa hii kutafuta majibu ya maswali yake ... Tafadhali kuwa mstaarabu kama kuna jibu KAUSHAA acha kujidai msemaji mkuu ...sometime nikujidhalilisha na kuonesha ni kiasi gan akili yako ipo tupu...kisa umechaguliwa UDOM unajiona umefanikiwa maisha ... UNGECHAGULIWA KUOGELEA IKULU YA MAREKANI UNGEJISIKIAJE ?? jibu watu vizuri huu ni mtandao ...utumie vizuri kujielimisha na sio kuongezea idadi ya maadui ...:angry::angry::angry: fool KAMA NI CHUO HATA NYERERE ALISOMA na wengine wapo maofisini muda huu wote walitoka udom ,,... saidia watu wanaohitaji msaada ...kama huwez hata kusaidia mtu msaada wa kimawazo , msaada wa kifedha utatoa kweli au ndo utamtemea kohozi usoni... UNABOA SIJUI mtanzania wa wapi wewe huna upendo STUPID
 
HATIMAYE NIMEMALIZA KUSOMA PAGE ZOTE ZA MJADALA HUU MREFU ..... kwanzia saa moja usiku mpaka saa kumi nasoma tu ... Mimi nipo 2015 ( llb ) law kwa tutakao onana inshaalah . Natumaini mjadala huu ni wa baraka mno kwa kijana au binti yeyote anayetegemea kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma .
Mimi kama mwanafunzi mtarajiwa wa sheria nimeshasikia vikwazo vingi mno na kusoma vingine kibao mtandaoni ,ila najua mategemeo yangu ni nini baada ya miaka mitatu. kwaio ushauri wangu kwa yeyote anaetaka kujiunga na udom .SIKILIZA USHAURI WA MTU ,ILA HUO USHAURI USIKUYUMBISHE IMANI YAKO , BE SOLID ALWAYS IF YOU KNOW YOU HAVE THE BEST CHOICE . then STICK TO IT AND BE CONFIDENT ... umesoma vitu kibao mpaka sasa JIKUBALI , chuo kikuu kisikufanye ukate tamaa au ujisahau .... haya maisha tu na hautakuwa udom maisha yako yote ... kwa kama sisi ni miaka mitatu tu ya udom // so get along and spend your time happily studying ...ukimaliza ,- UDOM ITABAKI HISTORIA TU KWAKO... ULIPOTOKA NI MBALI KULIKO UNAPOTARAJI KWENDA ,kama unafikiri elimu ni maji ya shingo , jaribu ujinga . ALL THE BEST udom 2015
 
acha tu tupendelewe bwana we unafkiri kusomea sheria kitu cha mzaha ?? uliza uambiwe sheria sio social science...we unawaza starehe za chuo?? sijui kama hata ukifika pale utapata hata muda wa kwenda kwa wajas:spit:

Hahaha kwa wajasi lazIma nitembelee aisee
 
HATIMAYE NIMEMALIZA KUSOMA PAGE ZOTE ZA MJADALA HUU MREFU ..... kwanzia saa moja usiku mpaka saa kumi nasoma tu ... Mimi nipo 2015 ( llb ) law kwa tutakao onana inshaalah . Natumaini mjadala huu ni wa baraka mno kwa kijana au binti yeyote anayetegemea kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma .
Mimi kama mwanafunzi mtarajiwa wa sheria nimeshasikia vikwazo vingi mno na kusoma vingine kibao mtandaoni ,ila najua mategemeo yangu ni nini baada ya miaka mitatu. kwaio ushauri wangu kwa yeyote anaetaka kujiunga na udom .SIKILIZA USHAURI WA MTU ,ILA HUO USHAURI USIKUYUMBISHE IMANI YAKO , BE SOLID ALWAYS IF YOU KNOW YOU HAVE THE BEST CHOICE . then STICK TO IT AND BE CONFIDENT ... umesoma vitu kibao mpaka sasa JIKUBALI , chuo kikuu kisikufanye ukate tamaa au ujisahau .... haya maisha tu na hautakuwa udom maisha yako yote ... kwa kama sisi ni miaka mitatu tu ya udom // so get along and spend your time happily studying ...ukimaliza ,- UDOM ITABAKI HISTORIA TU KWAKO... ULIPOTOKA NI MBALI KULIKO UNAPOTARAJI KWENDA ,kama unafikiri elimu ni maji ya shingo , jaribu ujinga . ALL THE BEST udom 2015

Oooh kweli unaipenda udom muda wote huo unasoma hii thread aisee
Big up 2015 inakusubiri kaza mwana utatoka
 
Eti guys hii course ya "Education with Arts" ipo college of social science? au kwenye hiyo selection wameichanganya tu kwa bahati mbaya badala ya kuiweka college of Education? ?
Kuna mtu kapangiwa huko ndo anauliza
 
Back
Top Bottom