Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Hey,kaka nakupongeza sana kwa ushauri huo,mwaka jana pale mzumbe kampas ya morogoro baadhi ya wanafunzi walipoteza na kuibiwa vyeti vya NECTA baada ya kuwaamini wanafnzi wenzao wasiowajua wala kuwafahamu wanakokaa,so my dear scholars watch out and make a clear follow up of what we are saying
 
Nikazie hapo, nauli ya daladala ni nauli ya sumatra 400/= kwa Social na Info, kule Ng'ox ni 450/= that includes Medicine too. Earth Science wanaish hostel za Info ila wanatumia lecture rooms zao college yao bado hostel zilikua hazijakamlika by July 2014 labda ss hivi. Tax maelewano tu kati ya buku 10-12, kwa social huko kwingine jipange. Hata daladala kwa kua una mizigo watakupiga na naul ya begi pia so unakomaa kisela. Usimuamin mtu. Fuatilia ratba ya usajili, wahi usajil upangiwe chumba upewe godoro na ufunguo atleast mtu ukishapangwa nae chumba waeza kuanza kumzoea na kua rafk yako, otherwise bullshit. Kama umefika jion tafuta tu mahal pa kulala ila jitahid usajiliwe mapema coz ndio usalama wako.
Kuhusu mavaz jiheshimu, kwa mabraza haina shida sana ila usiwe na rasta,usisuke, maheren usivae wala chain ndefu km mbwa wa polisi.
Yale majengo huwa yanachanganya ukiwa mgeni km huelew jitahd umpate mtu wa kuaminika km vile mlinzi mwenye umri wa makamo atakusaidia.
Mambo ni mengi hatuwez kumaliza yote hapa
niandikie NTAKUJIBU
jtaish@gmail.com
 
acheni kutishia watu
 
bachelor of science with education wapo college gani hapo UDOM?
 
Kwa kuongeza pia hawa madogo inabidi watambue kwamba kile chuo bado ni kichanga kama shule za kata,yapo matatizo mengi ya miundo mbinu hupatkanaji wa maji huwa ni tabu sana mengine sitasema.walimu wa pale bado ni vijana wadogo hivo wanapenda sifa sana kuweni nao makini sana msishindane nao katika mambo nyeti.....fanyeni kilichowapeleka.
 
Bachelor of science with education ipo college of education.n'gon'gona(ngox) huko kuna mamantilie kibao a.k.a (wajasi)vyakula vyao saani inaanzia elfu moja kushuka chini.Nasisitiza kuweni makini sana msijiingize katika makundi mabovu hiyo collage imepakana na hicho kijiji ngox na ndo huko wanapatika hao wajasi,baadhi Yao hujihusisha na biashara haramu wapo wanaouza mataputapu ,mabangi,mapombe makari ya kienyeji ambayo hayajathibtshwa na tbs tafadharini sana msiyanyweee
 
Social Science Mama Ntilie ( wajasi) wapo??
 
Kwa kuongeza pia hawa madogo inabidi watambue kwamba kile chuo bado ni kichanga kama shule za kata,yapo matatizo mengi ya miundo mbinu hupatkanaji wa maji huwa ni tabu sana mengine sitasema.walimu wa pale bado ni vijana wadogo hivo wanapenda sifa sana kuweni nao makini sana msishindane nao katika mambo nyeti.....fanyeni kilichowapeleka.

funguka mkuu kama tatizo ni maji waje na vidumu vya maji au coz vyoo nasikia vya kuflash na maji hakuna
 
Back
Top Bottom