Jonatus
JF-Expert Member
- Dec 16, 2013
- 1,403
- 379
we unaleta utani, kutoka town mpaka chuoni kwa mguu ni kama saa limoja au mbil afu kuna bonge la mlima,
Hahah nilikuwa nauliza kutoka. College of social science. To. Humanities. Ndo. Pana Umbali. Gani ?? Ila. Sio kutoka. Town hadi. Chuo