Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Makole kuna wale ambao bila kubeba mabegi makubwa tena zaidi ya moja hajaona kama ameenda chuo vile

Dah, Wings watu hao wapo, ila kwa kule kwenda na mabegi mawili ni issue, kwa MTITI ule yatakiwa unayo rasket na raba simple sana. Hakuna haja hata ya mabuti yenye chuma mbele.
 
Asante mkuu, nilikuwa hata cjui km college yangu ni informatics, iv informatics ina jumuisha wa2 wa coz zipi?
 
Maji yapo UDOM sio shida kwa sasa. College ya Informatics sifahamu kuhusu academics lakini wanavyovichwa vya kutosha. Manta hofu, pakulala papo kama kawa, usiumize kichwa kuhusu Usingizi.

hoya mkuu inamaana college ya medicine bado haijakamilika mpaka mida hii au nivip, kwa nini wanakaa coed
 
hoya mkuu inamaana college ya medicine bado haijakamilika mpaka mida hii au nivip, kwa nini wanakaa coed

Yap, hawa jamaa walijenga hostel mbili tu, za KE na ME. kwa sasa hazitoshi hivyo wanakaa mwaka wa kwanza tu. Ama kwa mwaka wa pili, wa 3 na wanne wanakaa COED, si mbali sana ila pana umbali. Huwa wanachukuliwa Asubuhi na mabasi ya chuo wanapelekwa huko. Pia kuna njia ya mkato kuelekea huko. Kwa daladala huwa zinafika ila si kwa wingi kwa sababu wale jamaa hawana movement nyingi. Wako bize sana.
 
Asante mkuu, nilikuwa hata cjui km college yangu ni informatics, iv informatics ina jumuisha wa2 wa coz zipi?

Ukiondoa BED ICT ambao nao wanamasomo wanaopt hapo Informatics (nadhani hivyo ingawa sina hakika sana) Kozi nyingine zote zinazohusisha Komputa na Information tech. ziko chini ya college hii ya Informatics.
 
Asante sana God kwa msaada
 
asante mkuu, vp kuhusu tution fees ni lazima uilipe yote kwa wakati mmoja au unailipa kwa semester, vp kuhusu mafunzo kwa vitendo hawa wa2 wanafanyia wapi coz nasikia pande hzo hakuna hospital, ebu nisaidie kwa hli
 
Hao jamaa wanazo practicle zao na mafunzo kwa vitendo wanafanya mahospitalini kama field. Pale wanazo maabara za kutosha na kama issue ingekuwa Hospitali UDOM kuna hospitali kubwa na nzuri. Then panajengwa Kituo kikubwa cha uchunguzi ambacho tetesi zinasema kuwa hatapelekwa mgonjwa India ila atakwenda UDOM, bado hakijakamilika. Kuhusu ada baba inategemea na Asilimia bodi walizokupa, Ila mara nyingi wanalipa kwa semista. Accomodation pia wanalipa kwa semista ili kuepuka mizinguo flani. Kama vip nipm nikujuze fresh kuhusu malipo
 
CoES wote wanakaa hostel za CoED au ni mwaka wa kwanza tu na je kuna umbali gani kutoka CoES hadi CoED
 
CoES wote wanakaa hostel za CoED au ni mwaka wa kwanza tu na je kuna umbali gani kutoka CoES hadi CoED

wote wanakaa hapo Coed hawaendi CoES maana ujenzi ulikua unaendele so lecture zao zote walikuwa wanapigia hapo Coed
 
CoES wote wanakaa hostel za CoED au ni mwaka wa kwanza tu na je kuna umbali gani kutoka CoES hadi CoED

Ni nyuma ya mlima fulani hivi. Unaweza kutembea tu kwa miguu kama dk 45 hivi. Ila hakuna uhakika kamma wataendelea kuishi Coed au watahamia Informatics. Kutokea Info ni karibu zaidi kuliko kutokea Educcation
 
MAKOLE, Wings wakuu mungu awazidishie sana, tafadhari msituchoke kwa maswali najua kuna wadau wengi watakuja hapa kuhoji hiki na kile.
 
Last edited by a moderator:
MAKOLE, Wings wakuu mungu awazidishie sana, tafadhari msituchoke kwa maswali najua kuna wadau wengi watakuja hapa kuhoji hiki na kile.

Wala hapana kujali, tutawapa msaada wa mawazo pindi mtakapotuhitaji ili nanyi mfanikiwe.
 
Na wale walochaguliwa computer engeneering wanapanda daladala za kwenda kitivo gani wapi?na vipi kuhusu kuhusu mavazi NAOMBA UNIFUMBUE MKUU
 
hostel mnatenganishwaje kutokana na sex wanawatenganisha kwa majengo tofauti au jengo moja floors tofauti.
 
Na wale walochaguliwa computer engeneering wanapanda daladala za kwenda kitivo gani wapi?na vipi kuhusu kuhusu mavazi NAOMBA UNIFUMBUE MKUU

daladala zao ni hizo za education(Coed) mavazi kwao sijui walikua na utaratibu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…