Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Inaitwa Kisasa primary karibu na kituo kinaitwa meriwa au si Ndo apo au Jonatus
 
Last edited by a moderator:
Aisee unanipa munkari wa UDOM hebu nielezee hata maajabu matatu ya UDOM.

Nitakusaidia haya: Ni chuo ambacho college zake zote 6 zipo chini ya vilele vya milima. Nyakati za mvua mandhari yake inakuwa nzuri kwa sababu ya maeneo college hizo zilivyojengwa....

Ni chuo ambacho huwezi kutembea kwa miguu ukakimaliza iwe kwa College moja ama zote 6.
 


Wow. .ila leo nimetembea kutoka social science hadi crdb bank kwenda na kurudi ila sio na barabara ni vichochoro
 
Wow. .ila leo nimetembea kutoka social science hadi crdb bank kwenda na kurudi ila sio na barabara ni vichochoro

Hehe! nahic tulikutana vichochoroni somewhere ukaniuliza kama nafaham iliko benk ya CRDB!! kama sio wewe bac samahani!
 
Hehe! nahic tulikutana vichochoroni somewhere ukaniuliza kama nafaham iliko benk ya CRDB!! kama sio wewe bac samahani!

Hahah ebu nipe description yangu physical appearance yangu kama unanikumbuka then ndo nitajua ni mimi au sio mimi
 
Nilishangaa nilivokataliwa kufanya registration kisa bado 500 kwenye tuition fee, nkakimbia haraka crdb
 
Du udom watatuua njaa watoto wa wakulima loan board wametukopesha wao mpaka Leo hawajatupa chetu wanapigia biznes da sijui udoso wako wapi kweli hakuna hapa
 
Msijali waziri mkuu wenu Mwakibinga wa CHSS anasema ameshakaa hapa miaka sita
 
Ukianzisha uzi (thread) ili iweze kukaa on top inapaswa iwe na wachangiaji wengi wanaochangia mara kwa mara, la sivyo itashuka chini na kusogezwa page zinazofuata, kingine kama kuna nyuzi mpya nyingi basi yako poa itasogezwa ukurasa unaofuatia.
kuhusu kuedit mada zako hapo anaweza kufanya hivyo "moderator", kwa maelezo zaidi ingia kwenye jukwaa la malalamiko na ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…