kwahiyo na kazi ulikosa, na ikitokea iterview nyingine jiandae kukosa kazi. Af ujiulize kwanini amerika inaitwa THE UNITED STATES OF AMERICA na kwanii nchi kama tz haiitwi hivyo. MAKOLE ukipata hilo kafanye interview nyingine utapata kazi
jamani isomeni vizuri hii post kwa umakini mkubwa hasa kwa wale waliochaguliwa UDOM mimi ilinisaidia sana na nilifika ktk college amb
ayo nilitakiwa kwenda kwa maelekezo niliyoyapata ktk hii nyuzi.HONGERA SANA MAKAKOLE KWA KUTOA HIYO POST...........................!!!!!!!
Wadau nimepata tetesi humu jf kuwa kuna vyuo majina ya mkopo tayari,kama udom yakitoka wale wajuzi wa IT tafadhali yawekeni humu,simu yangu ya kichina siwezi kufungua pdf wala excel! tafadhali.
Wadau nimepata tetesi humu jf kuwa kuna vyuo majina ya mkopo tayari,kama udom yakitoka wale wajuzi wa IT tafadhali yawekeni humu,simu yangu ya kichina siwezi kufungua pdf wala excel! tafadhali.
MAKOLE,embu nijuze room udom wanakaa watu wangapi? alafu kuna locker za design gani coz kuna w2 boom watakula na videm,kunywa bia kupita kiasi wakiishiwa wanataka kugongea hadi soap!,unyunyuz na wese,chuo si sekondari! mkuu nijuze,alafu mtu akiishiwa huwa hapo mambo ya maji ya kunywa niaje?