Eti guys hii course ya "Education with Arts" ipo college of social science? au kwenye hiyo selection wameichanganya tu kwa bahati mbaya badala ya kuiweka college of Education? ?
Kuna mtu kapangiwa huko ndo anauliza
Kipnd cha nyumba ilikuwa education lakn kuanzia 2012 iliamishiwa college of social sciences and humanities.
Eti guys hii course ya "Education with Arts" ipo college of social science? au kwenye hiyo selection wameichanganya tu kwa bahati mbaya badala ya kuiweka college of Education? ?
Kuna mtu kapangiwa huko ndo anauliza
Naomba niulize swali la Kipimajoto:::
Katika Tanzania hii, ni chuo Kikuu kimoja tu ambacho kinaanza na article "THE" unapokitaja. nacho ni THE UNIVERSITY OF DODOMA...unafikiri ni kwa nini????
CHUO kinafunguliwa tarehe 18 /10/2014. vilevile bodi ya mkopo wameongeza wiki 2 kwa wale waliochaguliwaDogo kuamvumilivu na uwe unazama UDOM-WEB kila upatapo nafasi 😎
CHUO kinafunguliwa tarehe 18 /10/2014. vilevile bodi ya mkopo wameongeza wiki 2 kwa wale waliochaguliwa
diploma in education kuomba mkopo kwa ambao hawakuomba.
mmhhh mkuu naomba ututajie ni kwannNaomba niulize swali la Kipimajoto:::
Katika Tanzania hii, ni chuo Kikuu kimoja tu ambacho kinaanza na article "THE" unapokitaja. nacho ni THE UNIVERSITY OF DODOMA...unafikiri ni kwa nini????
CHUO kinafunguliwa tarehe 18 /10/2014. vilevile bodi ya mkopo wameongeza wiki 2 kwa wale waliochaguliwa
diploma in education kuomba mkopo kwa ambao hawakuomba.
yaah nimeipata hiyo
ilikuwa moja ya swali la interview ya kazi pale UDOM, sijapata jibu hadi leo
Guys, hongereni kwa mjadala mzuri wenye maelekezo muhimu na Hongereni pia kwa kuingia kwenye Historia UDOM, Napenda kutoa angalizo tu kwamba mjadala huu ni wa muda mrefu tokea 2012 ila yapo baadhi ya mambo/ushauri ambao ni endelevu kwa maana ya kwamba utakusaidia. Mambo mengine yamepitwa na muda kutokana na uzoefu wa mtoa post kwa wakati huo na nawashauri muendelee kuuliza ili wenzetu waliopo huko kwa sasa watupe taarifa sahihi kwa mujibu wa wakati huu. Unaweza kwende kugombana na Makonda wa daladala wakati nauli ilibadilika....unaweza kwenda kwa Wajasi kumbe cafe za chuo wamebadili huduma zao.....sasa tuwe makini na uzi huu! Thanks na masomo mema "White University" (Hii ndio rangi yake)
Naomba niulize swali la Kipimajoto:::
Katika Tanzania hii, ni chuo Kikuu kimoja tu ambacho kinaanza na article "THE" unapokitaja. nacho ni THE UNIVERSITY OF DODOMA...unafikiri ni kwa nini????
nadhani jibu nimepata kutoka kwa memba mmoja wa english ..... amenifafanulia article THE inavyo tumiwa....ilikuwa moja ya swali la interview ya kazi pale UDOM, sijapata jibu hadi leo