Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Sema kwa ujas kuna wale walio sehem za changanyiken ni nouwma sana misic yao hao uliowataja hujakosea mm binafs nakula kwa mama Rama pale msoc safii kwa kujinafas, Cafeteria msoc radha hakna mbona moja, kula kwa folen inaboa kwa wapenda uhuru binafsi matunda ghali bila sababu sema kipind cha mitihan wana serve sana mana wako jran.
 
So it's risking Your Health and risking Your Money (choose one).

Its better to risk my health rather than my money beacuse when my health will be damaged my money will just be the solution of it and if when my money will be risked my health won't recover it.
 
Its better to risk my health rather than my money beacuse when my health will be damaged my money will just be the solution of it and if when my money will be risked my health won't recover it.


Hahaha Shardcole bhana....unaweza kuwa broke ila ukawa na afya ukapiga job hapo ukapata pesa
 
Last edited by a moderator:
bachelor of education in adults and community development!! vipi ni nzuri kwa baadae mtaani
 
Kwani wewe uliaanza hapo mwaka gani...coz me nimechaguliwa huko law but naogopa if ntapata loan
 
Tafadhali wadau waliofanikiwa kujiregister OLAS mbona kila nikiingiza mpesa code inanambia invalid transaction id tatizo nn msaada waungwana¤

Hizo code za m pesa unataka kufanyia nn saiv?
 
Ukifuata sheria na taratibu utaishi na kusoma kwa raha sana udom, kinyume chake itakuwa karaha.god bless udom!
 
na vip kuhusu cost ya vitu mkoan dodoma kama vile nguo!!!...na pia kuhusu uhakika wa upatikanaji wa maji chuon!!
 
Nackia watu wa science UDOM hawafanyi field....kuna ukweli hapooo???
 
Maji ni ya jutoshaa na garama vya vitu, kwa ujumla sio ni ya wastani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…