Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
Nataka kujua kama kuna bar jirani na kama kuna mademu wanaouza utamu
unaweza lkn haiitwi college ya education with special need but inaitwa College of education na hiyo degree program ndio inaitwa bachelor of education with special need (bed sped ) km sijakoseaCwez kukuuliza swali linalohusu college ya education with special neeed-UDOM?Maana nimechaguliwa hapo
hakiitwi chuo cha Kata lakini kinaitwa The University of Dodoma (UDOM)
hahaha kwanza huwez kuulizwa swal manake najua hakuna mtu alie faulu vizur na mwenye akili timamu atakubali kusoma udom hapo watu wanakuja manake hawana pengine pa kwenda so kila aliepata udom ana mauchungu yake
chuo cha kata kwa7bu waliokuja hapo n wnye cut off point 2.5 kwann ucsome udsm na mataw yake coz n cha kwanza tz na cha 4 afr
chuo cha kata kwa7bu waliokuja hapo n wnye cut off point 2.5 kwann ucsome udsm na mataw yake coz n cha kwanza tz na cha 4 afr
Una vithibitisho vya maneno usemayo??
chuo cha kata kwa7bu waliokuja hapo n wnye cut off point 2.5 kwann ucsome udsm na mataw yake coz n cha kwanza tz na cha 4 afr
V2 gani hasa students wanatakiwa kuwa makini navyo wawapo hapo chuoni?
V2 gani hasa students wanatakiwa kuwa makini navyo wawapo hapo chuoni?
Uwapo Chuoni kuwa makini na malizako especially laptop na mali za thamani, pia ufikapo stand usi kurupuke kuchukua pikipiki wala Tax utapigwa pesa ndefu(Unless uwe vizuri mfukoni) Mkifika stand serikali ya wanafunzi UDOM hua wanaandaa utaratibu mzuri wa kupokea First year kuanzia bus stand, hua wana vaa vitambulisho maalumu utawajua tu pindi ufikapo Dodoma,
Karibu sana.
Mambo ya u----a nackia yapo nikweli?
sikutegemea kama mtu msomi atatoa ushauri kama huu
chuo cha kata kwa7bu waliokuja hapo n wnye cut off point 2.5 kwann ucsome udsm na mataw yake coz n cha kwanza tz na cha 4 afr
acha pumba we demu! Nilikua nakuona wa maana kumbe kichaa tu watu wana cutt_off point mpaka saba wawetupwa udom wewe na cutt off point 5 za mawazo hizo unajisifu kuchaguliwa mkwawa na ungechaguliwa udsm m.campus je? Jipange
acha pumba we demu! Nilikua nakuona wa maana kumbe kichaa tu watu wana cutt_off point mpaka saba wawetupwa udom wewe na cutt off point 5 za mawazo hizo unajisifu kuchaguliwa mkwawa na ungechaguliwa UDSM m.campus je? Jipange