Burungutu lebba
Senior Member
- Jul 31, 2012
- 168
- 168
hahaha!! MAKOLE umenifurahisha unapoandika ALIS. ni Academic Registration Information System(ARIS). Acha kutisha wenzako. Au umetapeliwa na wajasi kule Ng'ox.
Kwa kawaida hiyo reg. itaanza na itafuatiwa na orientation. kila kitu wataonyesha kwenye joiningudsm wameonyesha exactly day ya first year kuripoti chuoni kwa ajili ya registration na orientation coz kabla ya october ambayo ndio academic year inaanza huko kwao/but udom academic year inaanza second week ya october;je masuala ya registration na orientation yatafanyika kabla ya hiyo second week ya october,au yata fanyika during hiyo second week ya october.msaada tafadhali
kaka naomba msaada hapo kwa NHIF... jinsi ya kujiunga
Niaje wakubwa, thanx wale wote wa UDOM ambao wanadevote muda wao mwingi ktk kuwahost first year students kisaikolojia
naomba kuuliza je,kuna tofauti kati ya JOINING INSTRUCTION FORM NA ADMISSION LETTER which has no sooner to be issued
Msaada wenu tafadhari kuhusu hapo udom kuna jamaa angu alikuwa ana principle moja SSD kawa adimitted udom software eng. Anahofia kwenye registration wanaweza mzingua but ni ameandikiwa adimitted
udsm admission letter imeonyesha exactly day ya first year kuripoti shuleni kwa ajili ya registration na orientation coz kabla ya academic yaer kuanza october.but udom academic year inaanza second week ya october,je registration na masuala ya oriantation yatafanyika kabla ya hiyo second week ya october au.kama ndivyo ni lini?
msaada tafadhari
hao swala la usafiri bado kitendawili kwao kuna usafiri wa chuo tu mda wa vipindi,kwa starehe au shughuri zako binafsi usafiri akuna ni mwendo wa kuchanganya kwako
:flypig: