Ushauri kwa wale waliojaaliwa flat screens

Ushauri kwa wale waliojaaliwa flat screens

vipi kwa wale akina sisi wenye flat nyuma, na tv za zamani mbele tuvaeje, endelea kutoa ushauri tafadhali
 
Amekasirika utasema shape inauzwa sokoni...na flat screen wamejitakia
Anasahau kuwa anamkosoa Muumba wakati hapo alipo hajawai hata kutengeneza TV...


sasa jamani kosa letu nini sisi wenye flat??? mbona mwatunyasanyasa kwani tulijiumbaaa???
 
Enzi za kina Amrish Poor aka dingi la kinoma

Dan denzopa simba mla kitimoto

Mithun Chackarabot kijana wa zamani

Sunil Shetty mzee wa makombora

Dharumendra mzee wa nguvu za Simba

Khadir Khan mzee wa akili mingi

Sun deol kichaa a.k.a kabangi

Sanjidat mtoto wa mbwa/doggy

Nadsurdisha mzee wa busara

Hahaha tumetoka mbali sana sisi watoto wa uswazi.


kumbe ulikuwepo enzi za Andha Kanoon......ha ha haaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom