Ushauri kwa wale waliojaaliwa flat screens

Ushauri kwa wale waliojaaliwa flat screens

meona eeeh flat wengi mavazi yote wanapendeza

na originally suruwali ni vazi la watu skinny! sasa utakuta mtu kvaa suruwali mpaka makalio hayaenei, kuinama tabu tupu, akitembea kidogo tu inalowa katikati...tabu kweli!
Bollywood-Actresses-in-Tight-Jeans.jpg
 
na originally suruwali ni vazi la watu skinny! sasa utakuta mtu kvaa suruwali mpaka makalio hayaenei, kuinama tabu tupu, akitembea kidogo tu inalowa katikati...tabu kweli!
View attachment 188689

hao labda wale chogo ndo wanavaa inakuwa taabu pia ila wakat mwingne wananunua ambazo si size halisi ndo utakuta anavaa akiinama unaona mchilizi
 
mkuu hiyo "v" huwaga haina mvuto kabisa.wananiboaga sana wahudumu wa ndege ya qatar,akikuangalia kwa mbele unamtamani akigeuka nyuma utadhani amechomeka mkasi makalioni

hahaha... Mkuu hao wamepitiliza wataftiwe gym za kuongezaongeza
 
mkuu hiyo "v" huwaga haina mvuto kabisa.wananiboaga sana wahudumu wa ndege ya qatar,akikuangalia kwa mbele unamtamani akigeuka nyuma utadhani amechomeka mkasi makalioni

Nimecheka ya kulalia aiseee Tyta mzee wa mapicha akija hapaa ntacheka nifeee
 
Last edited by a moderator:
cha msingi mtu ujitambue una umbile la vp uvae vipi...wengine wanachekesha kweli mitaani humu......unakuta jitu lina mitairi kibao aka minyama uzembe afu mwenyewe katupia top ya kushika mwili...heeeee....uongeze nyuma ndo iyo LED balaaaa.....afu wanajifanyaga wanajiamini haoooo
 
ha ha ha enzi za kutoa sh. 50 af unachek movie kwenye vibanda eeh!!!lol....
Enzi za kina Amrish Poor aka dingi la kinoma

Dan denzopa simba mla kitimoto

Mithun Chackarabot kijana wa zamani

Sunil Shetty mzee wa makombora

Dharumendra mzee wa nguvu za Simba

Khadir Khan mzee wa akili mingi

Sun deol kichaa a.k.a kabangi

Sanjidat mtoto wa mbwa/doggy

Nadsurdisha mzee wa busara

Hahaha tumetoka mbali sana sisi watoto wa uswazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom