Ushauri kwa wale waliojaaliwa flat screens

Nawashauri msipende kuvaa suluari maana mnachoreka sana. Kama una flat screen yako tafadhali vaa sketi au gauni utaonekana vema zaidi kuliko ukiwa na suluali.
Mungu katuumba tofauti na kuna wengne ana kfua kikubwa na kiuno hana, akivaa suluali muonekano wake unakuwa unique. Vaeni magauni au skets tu mtapendeza

kwa taarifa yako wanawake wenye flatscreen ndiyo wanapendeza suruwali, awe na mwili mdogo tu!
 
Ni kweli vaa kulingana na umbo lako,mtu unakuta ana makalio flat kama anaendesha magari yakwenda mikoan afu kakomalia surual kisa ndo mtindo,unajichoresha tunakuona ni mfata mkumbo hujitambui wala kujitathimini...mtu una mwendo kama lalola afu unakomalia mapigo ya jukwaan,kula nguo kulingana na umbo lako...
 
bora mkuu umekazia msumali nadhani wanaskia
 
Nawashauri msipende kuvaa suluari maana mnachoreka sana. Kama una flat screen yako tafadhali vaa sketi au gauni utaonekana vema zaidi kuliko ukiwa na suluali.
Mungu katuumba tofauti na kuna wengne ana kfua kikubwa na kiuno hana, akivaa suluali muonekano wake unakuwa unique. Vaeni magauni au skets tu mtapendeza

Akhsante kwa kunijuza maana nyengine ya flat screen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom