Ushauri kwa wale waliojaaliwa flat screens

Ushauri kwa wale waliojaaliwa flat screens

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,467
Reaction score
11,641
Nawashauri msipende kuvaa suluari maana mnachoreka sana. Kama una flat screen yako tafadhali vaa sketi au gauni utaonekana vema zaidi kuliko ukiwa na suluali.
Mungu katuumba tofauti na kuna wengne ana kfua kikubwa na kiuno hana, akivaa suluali muonekano wake unakuwa unique. Vaeni magauni au skets tu mtapendeza
 
pata picha umekutana na huyo "v" ni balaa tupu!!!
images23.jpg
 
Umakin wa mtu unaanza hata kwa mavaz yake tu... unajijua shape yako then unavaa tu bila hata kujitambua... ishu sio fashen mwanamke lazma ajue kufanya aonekane mrembo na kapendeza
 
Flat screen wengi wako vizuri kiuchumi..kuliko wenye mizigo...unakuta mdada wowowo hiloo...lakini hajui atakula wapi kesho...

labda kuwa flat kunawafanya wawe wepesi kuchakalika
 
kuna kazi humu MMU., sina hata la kuchangia hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom