Ushauri kwa wadada single

Ushauri kwa wadada single

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,160
Saa nyingine tunapenda hela lakini kuna wakati unafika hela haiwezi kukupatia amani, afya wala furaha. Kuna wakati hata elimu haiwezi kununua furaha ya kweli. Huu ushauri umetoka kwa mwanamke aliyemuacha mchumba wake kwa sababu hana elimu alafu ni maskini akamuendea aliye tajiri na mwenye elimu kubwa. Matokeo yake kumbe ameathirika. Kuja kutahamaki ameambukizwa tayari virusi. Aliyekuwa maskini ni tajiri sasa na kumrudia hawezi tena. Soma mwenyewe.........

"......WEWE MSICHANA MWENZANGU..., SIMAMA NA MUNGU....., MTANGULIZE MUNGU KWA KILA JAMBO...., MACHO YASIKUPOTEZE, ELIMU YAKO, PESA YAKO, UZURI WAKO USIACHE VIKUPOTEZE. MUHESHIMU MUNGU OKOKA KWELI KWELI, KAMA WATEMBEA KWA IMANI BASI AMINI JUU YA MUMEO MUNGU ATAKUPA AFANANAE NAWE KWA VIGEZO VYAKE NA SIO VYAKO WEWE.

USIMCHANGANYE MUNGU HUKU UKIISHI MAISHA MACHAFU MTAANI, USIUFANYE MWILI WAKO KITUO CHA UTALII KWANI HILO NI HEKALU LA ROHO MTAKATIFUUU!! USIMDHARAU MTU KWA NAMNA YOYOTE LEO WEWE HUJUI KESHO YA HUYO MTU...., YULE KIJANA NILIMKATAA SASA NI TAJIRI ANA VITU VYOTE NILIVYOKUWA NATAKA BUT NOW IT'S TOO LATE KWANI NALITAMANI VITU NISIVYOVITOLEA JASHO. KUBALI MTU SI KWA VILE ALIVYO TU BALI PIA ATAKAVYOKUWA BAADAE, KUBALI KUANZA SIFURI NAYE MUINUKE PAMOJA, LIENI NA KUCHEKA PAMOJA.., MTABARIKIWA. NAPIGANA VITA NAMI HAPA NIKIAMINI MUNGU AMENISAMEHE NA SIKU MOJA TUONANE MBINGUNI.....".

Ninadhani wa kubadilika ataabadilika.
 
asante kwa ushauri wako mzuri, noted.
[FONT=comic sans
ms]Saa nyingine tunapenda hela lakini kuna wakati unafika hela
haiwezi kukupatia amani, afya wala furaha. Kuna wakati hata elimu
haiwezi kununua furaha ya kweli. Huu ushauri umetoka kwa mwanamke
aliyemuacha mchumba wake kwa sababu hana elimu alafu ni maskini
akamuendea aliye tajiri na mwenye elimu kubwa. Matokeo yake kumbe
ameathirika. Kuja kutahamaki ameambukizwa tayari virusi. Aliyekuwa
maskini ni tajiri sasa na kumrudia hawezi tena. Soma mwenyewe.........

"......WEWE MSICHANA MWENZANGU..., SIMAMA NA MUNGU....., MTANGULIZE
MUNGU KWA KILA JAMBO...., MACHO YASIKUPOTEZE, ELIMU YAKO, PESA YAKO,
UZURI WAKO USIACHE VIKUPOTEZE. MUHESHIMU MUNGU OKOKA KWELI KWELI, KAMA
WATEMBEA KWA IMANI BASI AMINI JUU YA MUMEO MUNGU ATAKUPA AFANANAE NAWE
KWA VIGEZO VYAKE NA SIO VYAKO WEWE.

USIMCHANGANYE MUNGU HUKU UKIISHI MAISHA MACHAFU MTAANI, USIUFANYE
MWILI WAKO KITUO CHA UTALII
KWANI HILO NI HEKALU LA ROHO
MTAKATIFUUU!! USIMDHARAU MTU KWA NAMNA YOYOTE LEO WEWE HUJUI KESHO YA
HUYO MTU...., YULE KIJANA NILIMKATAA SASA NI TAJIRI ANA VITU VYOTE
NILIVYOKUWA NATAKA BUT NOW IT'S TOO LATE KWANI NALITAMANI VITU
NISIVYOVITOLEA JASHO. KUBALI MTU SI KWA VILE ALIVYO TU BALI PIA
ATAKAVYOKUWA BAADAE, KUBALI KUANZA SIFURI NAYE MUINUKE PAMOJA, LIENI NA
KUCHEKA PAMOJA.., MTABARIKIWA. NAPIGANA VITA NAMI HAPA NIKIAMINI MUNGU
AMENISAMEHE NA SIKU MOJA TUONANE MBINGUNI.....".

Ninadhani wa kubadilika ataabadilika.
[/FONT]
 
huyo jamaa alifanya kweli...anafuata hela zako unampa kirusi...mfe wote.
 
Saa nyingine tunapenda hela lakini kuna wakati unafika hela haiwezi kukupatia amani, afya wala furaha. Kuna wakati hata elimu haiwezi kununua furaha ya kweli. Huu ushauri umetoka kwa mwanamke aliyemuacha mchumba wake kwa sababu hana elimu alafu ni maskini akamuendea aliye tajiri na mwenye elimu kubwa. Matokeo yake kumbe ameathirika. Kuja kutahamaki ameambukizwa tayari virusi. Aliyekuwa maskini ni tajiri sasa na kumrudia hawezi tena. Soma mwenyewe.........

"......WEWE MSICHANA MWENZANGU..., SIMAMA NA MUNGU....., MTANGULIZE MUNGU KWA KILA JAMBO...., MACHO YASIKUPOTEZE, ELIMU YAKO, PESA YAKO, UZURI WAKO USIACHE VIKUPOTEZE. MUHESHIMU MUNGU OKOKA KWELI KWELI, KAMA WATEMBEA KWA IMANI BASI AMINI JUU YA MUMEO MUNGU ATAKUPA AFANANAE NAWE KWA VIGEZO VYAKE NA SIO VYAKO WEWE.

USIMCHANGANYE MUNGU HUKU UKIISHI MAISHA MACHAFU MTAANI, USIUFANYE MWILI WAKO KITUO CHA UTALII KWANI HILO NI HEKALU LA ROHO MTAKATIFUUU!! USIMDHARAU MTU KWA NAMNA YOYOTE LEO WEWE HUJUI KESHO YA HUYO MTU...., YULE KIJANA NILIMKATAA SASA NI TAJIRI ANA VITU VYOTE NILIVYOKUWA NATAKA BUT NOW IT'S TOO LATE KWANI NALITAMANI VITU NISIVYOVITOLEA JASHO. KUBALI MTU SI KWA VILE ALIVYO TU BALI PIA ATAKAVYOKUWA BAADAE, KUBALI KUANZA SIFURI NAYE MUINUKE PAMOJA, LIENI NA KUCHEKA PAMOJA.., MTABARIKIWA. NAPIGANA VITA NAMI HAPA NIKIAMINI MUNGU AMENISAMEHE NA SIKU MOJA TUONANE MBINGUNI.....".

Ninadhani wa kubadilika ataabadilika.

nikweli kabisa sikuhizi wadada wapo after money, no money no love matokeo yake ndio hayoo! Tusiwadharau wenye vipato vidogo kwani ipo siku na wao Mungu atawainua nakuwa na mali kama wengine. Kwani kuna mtu anayezaliwa na mabilion mkononi jamani? Tuache dharau na tujifunze kupitia huyo muhanga.
 
Saa nyingine tunapenda hela lakini kuna wakati unafika hela haiwezi kukupatia amani, afya wala furaha. Kuna wakati hata elimu haiwezi kununua furaha ya kweli. Huu ushauri umetoka kwa mwanamke aliyemuacha mchumba wake kwa sababu hana elimu alafu ni maskini akamuendea aliye tajiri na mwenye elimu kubwa. Matokeo yake kumbe ameathirika. Kuja kutahamaki ameambukizwa tayari virusi. Aliyekuwa maskini ni tajiri sasa na kumrudia hawezi tena. Soma mwenyewe.........

"......WEWE MSICHANA MWENZANGU..., SIMAMA NA MUNGU....., MTANGULIZE MUNGU KWA KILA JAMBO...., MACHO YASIKUPOTEZE, ELIMU YAKO, PESA YAKO, UZURI WAKO USIACHE VIKUPOTEZE. MUHESHIMU MUNGU OKOKA KWELI KWELI, KAMA WATEMBEA KWA IMANI BASI AMINI JUU YA MUMEO MUNGU ATAKUPA AFANANAE NAWE KWA VIGEZO VYAKE NA SIO VYAKO WEWE.

USIMCHANGANYE MUNGU HUKU UKIISHI MAISHA MACHAFU MTAANI, USIUFANYE MWILI WAKO KITUO CHA UTALII KWANI HILO NI HEKALU LA ROHO MTAKATIFUUU!! USIMDHARAU MTU KWA NAMNA YOYOTE LEO WEWE HUJUI KESHO YA HUYO MTU...., YULE KIJANA NILIMKATAA SASA NI TAJIRI ANA VITU VYOTE NILIVYOKUWA NATAKA BUT NOW IT'S TOO LATE KWANI NALITAMANI VITU NISIVYOVITOLEA JASHO. KUBALI MTU SI KWA VILE ALIVYO TU BALI PIA ATAKAVYOKUWA BAADAE, KUBALI KUANZA SIFURI NAYE MUINUKE PAMOJA, LIENI NA KUCHEKA PAMOJA.., MTABARIKIWA. NAPIGANA VITA NAMI HAPA NIKIAMINI MUNGU AMENISAMEHE NA SIKU MOJA TUONANE MBINGUNI.....".

Ninadhani wa kubadilika ataabadilika.

Hapo kwenye red hapo umenikuna
 
Watu ni kama hawasikii tu..Haya mambo yapo na watu wanajua ila ndo hivyo kupenda mteremko.
Furaha ya kweli ni kwa yule mtakaependana kwa dhati awe na mali au hana..
Watu wasipende kurukia rukia wengine sababu ya fedha.
 
rafki yangu mmoja alipenda kusema ''money brings b.i.t.c.h.e.s and b;t;c;h;e;s bring love" lakini saiv nadhani na yeye ameshabadilisha huo msemo.....
 
Hela zenyewe za hawa wanaoitwa bilionea zinanuka damu na harufu zingine zisizoeleweka. Sasa ukizifwata kama hutapata ukimwi basi lipo lingine tu litalokupata
 
huyo jamaa alifanya kweli...anafuata hela zako unampa kirusi...mfe wote.

Hapo umefurahije, ila na wewe mzabzab sio bure kuna kitu wadada walikutenda hadi kufikia kuwa na msimamo uleeee wa kugegeda na kusepa
 
Last edited by a moderator:
Hapo umefurahije, ila na wewe mzabzab sio bure kuna kitu wadada walikutenda hadi kufikia kuwa na msimamo uleeee wa kugegeda na kusepa

sii uongo kuna mmoja alinitenda kweli...sasa nikaona hapa ni kuwagegeda na kuwatopilia mbali maana ustaarabu waonyesha wao wakuona wee f.a.l.a vile....sasa never again mzabzab kuwa f.a.l.a mbele ya demu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom