Ushauri kwa vijana

Ushauri kwa vijana

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,639
Vijana wanahitaji ushauri. Vijana lazima wasali,watafakari,wamche Mungu.

Watu wengi ambao hawajasoma Msahafu wanataka kuwapotosha vijana.

Vijana wadogo hata hawajafikisha umri wa miaka ishirini, wanaadhibiwa vikali badala ya kupewa ushauri.

Usiku ni wakati wa kupumzika. Sasa ukihangaika usiku ukipata matatizo unataka kumlaumu nani?.

Muhimu kwa vijana waelewe Amri za Mungu hazipo Kumi. Ipo moja tu.

Mwanaume asivae gauni. Basi,hakuna Amri nyingine.
 
Back
Top Bottom