RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 3,590
- 8,476
Serikali yetu ya Tanzania, nilikuwa nawashauri kuwa, hii mitandao yakijamii mliyozima kama inawezekana tuzimieni sisi tu waupinzani, maana ndugu zetu CCM wao hawana makosa, wanahitaji hii mitandao maana wao hawakupakua hata VPN, kwahio waoneeni huruma muwape access yamitandao lakini muwazuie upinzani tu.
Naamini hili linawezekana maana wao wanamuunga mkono JPM, kwa hiyo itakuwa hamuwatendei haki, sisi kuiokosa hii mitandao nawao waikose sio haki kabisa.
Maendeleo yanavyama, mkichagua mbunge wa upinzani siwaletei maendeleo, nakwavile makada wa ccm wao hawajasapoti upinzani basi wao watapata huduma bora kuliko upinzani.
Anzeni nahili la mitandao yakijamii muwapatie huduma bora kuliko wapinzani, nasio muwaweke kwenye kapu moja.