Ushauri Kwa Tundu Lissu

Ushauri Kwa Tundu Lissu

He can get all the PhD's you want him to get, lakini kwenye uongozi wa aina yoyote nchi hii hafai. Anaweza kuwa lecturer mzuri chuo fulani, lakini hafai kuwa kiongozi. Uongozi ni kwa watu wenye intelligence, siyo kwa watu wenye academic excellence peke yake!
Kama Jpm aliweza kuwa kiongozi nchi hii sidhani kama kuna Mtanzania mwenye akili timamu anashindwa
 
Who are you? Ukiona hivi ujue wewe unatakiwa kuwa impressed na akina Babu Tale, Joti and the like. Sorry to say
I am me.

Sio lazima niwe impressed na huyo kilaza wenu.
 
Kama Jpm aliweza kuwa kiongozi nchi hii sidhani kama kuna Mtanzania mwenye akili timamu anashindwa
We koma,

Baada ya mwl NYERERE, Magu alikuwa brain kubwa Ile.

Magu alikuwa na AKILI kubwa,

Angelou's.

A PROPHET . Na itabaki hivyo hivyo.
 
He can get all the PhD's you want him to get, lakini kwenye uongozi wa aina yoyote nchi hii hafai. Anaweza kuwa lecturer mzuri chuo fulani, lakini hafai kuwa kiongozi. Uongozi ni kwa watu wenye intelligence, siyo kwa watu wenye academic excellence peke yake!
Kama magufuli aliweza kua rais WA Tanzania, Lisu Nini kitamshinda??acha ujuaji mwingi
 
We koma,

Baada ya mwl NYERERE, Magu alikuwa brain kubwa Ile.

Magu alikuwa na AKILI kubwa,

Angelou's.

A PROPHET . Na itabaki hivyo hivyo.
Akili kubwa ?!

Daahh aiseeh basi tu ni kwa kuwa Ccm imejisokota ndani vyombo. Kuwa wakimleta mgombea ni lazima apitishwe. Ila yule hakuwa kiongozi labda nyapara
 
Akili kubwa ?!

Daahh aiseeh basi tu ni kwa kuwa Ccm imejisokota ndani vyombo. Kuwa wakimleta mgombea ni lazima apitishwe. Ila yule hakuwa kiongozi labda nyapara
Kama unaona hivyo ni sawa, naheshimu maoni Yako.

Bt kwangu, Magu alikuwa Pan Africanist, Alipendwa Afrika tujitegemee,

Tujitume kufanya KAZI Kwa bidii, tuwe wazalendo, tukatae uzembe kazini, tuheshimu muda na kupinga RUSHWA na uonevu.

Wamezaliwa type ya Magu wengi sana mioyoni mwa watz.

Tunayaenzi maono yake mema. Mapungufu yake tunayaacha.

Amen
 
I am me.

Sio lazima niwe impressed na huyo kilaza wenu.
Wapi amesema anataka kuku-impress? Mpwa mbona kama vile una kipele kinawasha?! Kama haikuhusu just ignore it usijibebeshe mizigo isiyokuhusu! Your future matters 😁
 
What about mbowe!
Akili ya Mbowe ni zaidi ya PHD,

ELIMU ya Mbowe ni form 4.

ELIMU au PhD haitoshi kumpa mtu mafanikio au maisha MAZURI.

Ili ufanikiwe,

Unatakiwa uwe na KIBALI. Ambacho hutoka juu, mtu huzaliwa nacho.

KAMBA na Mwigu Kwa mfano, ni mbumbumbu waliyoiba akili ya watu somewhere Ili kufaulu mitihani na kupata mamlaka.

Wenye MACHO wanaelewa naongelea nn!!!
 
Chamuhimu unafanyia Nini nchi Yako sio jinalako linaanza na tittle Gani!!
 
Tujuane Kwa uwezo Si MAKARATASI,
Lissu kiasili anayo Phd haitaji ongezeko lolote lile, na hata likitokea kuongezea title binafsi napendekeza, Mzeee basi iwe hivyo, its Honorary enough kwa mila na tamaduni zetu....Nilitaka kupendekeza "Mwana Mutapa" (ukisoma historia ya miundo ya uongozi Afrika nyakati hizo zake)utaelewa vizuri. Haijalishi ila ingeonekana kana utani lakini kiuhalisia ndio ingemufaa hii phd ni ya tamaduni ngeni Ni lugha tu hekima na uwezo ni uleule(maana)
Maana AKILI mtu huzaliwa nayo, bt ELIMU anaongezea tu.

Naamini hiyo, manake cha kwanza tunalia kudai maziwa!
 
Wapi amesema anataka kuku-impress? Mpwa mbona kama vile una kipele kinawasha?! Kama haikuhusu just ignore it usijibebeshe mizigo isiyokuhusu! Your future matters 😁
Utakua umeshanielewa.
 
Back
Top Bottom