Huku mtaani kumekuwa na watafuta ajira wengi sana, katika matangazo yenu ya nafasi za kazi mara nyingi mnaweka muda mwingi wa watu kuomba nafasi ni sahihi. Hizo deadline mnazoweka mbona haziendani na wakati uliopo...kwann??
Utakuta tangazo limetolewa leo ndani yake unaambiwa uombe kazi ndani ya wiki mbili tangu sasa...sasa maswali najiuliza hawa watu wanatafuta nini?
1. Hawajui kwamba watafutaji ni wengi?
2. Hawajui kuwa utandawazi umekua sana?
Kwanini wasiweke deadline iwe ni siku moja ama mbili baada ya tangazo kutoka, ama waweke deadline masaa sita tu alafu tangazo lifungwe??
Njia inayotumika kwasasa ni mbovu sana na ni ya kizamani sana...huwezi toa tangazo leo alafu uweke deadline wiki mbili..ar u matured??
Mimeona baadhi ya mashirika wanajitahidi kwenda na wakati, wanatangaza leo deadline ni kesho. Hongereni sana kwa nyie mnaofanya hivi....lakini upande wa serikali yetu tafadharini twawaomba jamanj...utandawazi umekua watu wanapata taarifa mapema sana...jitahidini kupunguza muda wa kuomba hizo nafasi, pia mtapunguza msongamano wa maombi Kwenye email zenu...utakuta mnahitaji mtu mmoja alafu tangazo lenu linaonyesha deadline wiki mbili...are u crazy???.. Sasa mnakuja kuwafanyia usaili watu mia 600 kwa nafasi moja. Jamani jalini muda na utaalamu na zingatieni utandawazi umekua sana...
Lengo la kuandika haya yote: ni kuwataka mupunguze muda wa watu kuomba nafasi za kazi ktk matangazo mnayoyatoa. Watafuta kazi wamekuwa very active kwasasa yaani wanatafuta habari hakuna mfano...tangazo likitoa leo utakuta karibia kila Kona ya nchi wanajua...sasa kuna haja gani ya kuweka deadline mawiki???
Secta yetu ya mawasiliano umekua tubadilike, zamani mlikuwa mkiweka tangazo deadline mnaweka mwezi..ili kuhofia hamtapata waombaji...lakini kwasasa mambo ni tofauti sana...
Kila laheri ktk majukumu yenu....