Ushauri kwa RC Makonda kuhusu wadudu, sasa wamezidi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Arusha bado kuna wahuni wa kila aina na wengine wajiweka tofauti na kujiita wadudu.
Wadudu wamepata nguvu kubwa kwa RC Makonda ila tokea kupata nguvu yani ukifungua mtandao wa youtube mara wameiba jeneza, mara wamefanya hivi yaani vituko na maajabu.

Kumbuka ulitoka Dar, Mfano Dar unapowapa baraka mateja waendeleze uteja wao hapo hujengi kupendwa na wasio na tabia hizo.

Jaribu kuwabadilisha hawa wadudu sio kuwaendekeza, kuna siku watakugeukia kwenye mkoa na kuwa mkoa wa wahuni.
 
Duu

Duuh lugha unajua au inaharibika?Wadudu,chawa nk!
 
Halafu vijana wa Arusha wote tunaonekana wahuni vijana wa Shule ya Upili hata mwendo wa kutembea nao umebadilika kama wadudu
 
Upuz bado unaendelea huko
Huo mkoa sijawahi kuuelewa kabisa

Ova
 
Back
Top Bottom