Ushauri kwa rais

atubariki

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
225
17
Je kwanini rais asingeteua wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wasingekuwa wanatoka katika mikoa husika mfano mkuu wa mkoa wa Njombe awe anatokea Njombe na mkuu wa wilaya ya Makete awe anatokea Makete je wana JF mnasemaje ?
 
Back
Top Bottom