Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Wewe baki huko huko na wadenish wako. Hizi Noah ni kwa sisi huku. Ukitaka waombe wadenish sosho, watakupa.
mkuu iyo sosho nimeikataa ni aibu kijana mwenye nguvu kula sosho ni wasomali tu na walevi alcoholic. Vp mkuu ushaish hiz nchi nini? Kwasabab mtu wa buguruni ama temeke mikoroshini kujua sosho
 
Hii ndio ukisikia umelala maskini ukaamka ukiwa tajiri. Tumelala masikini awamu za LodiLofa na fastjet tumeamka matajiri awamu ya Mtukufu Sizonje. Mungu aendelee kukupa maisha marefu Rais wa vi-wonder na Noah.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mimi yangu waibadilishe iwe hela ili ninunue nnachokitaka Mimi.
Yaani washindwe kuitumia hiyo hela kwenye sera yao ya vi-wonder ndio wakupe cash?sasa hivi ndio wamegundua tatizo kubwa la Watanzania ni usafiri tena Noah na sio Vi-wonder.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Huko Denmark pato la raia mmoja kwa mwaka ni kama $47,000. Ni vizuri ukadai hio $47,000 yako kila mwaka ili uache kufagia vyoo! Noah zetu hazifiki hata $7000.
 
Dah! wenginë tupéwe chetu tuchange tujenge vituo vya mafuta, maduka ya vipuri, vyuo vya ufundi nk. Tutanunua gari tofauti na noah.
 
Yaani mkuu nimecheka hadi machozi. Umesahau kuwashauri wabebamabox warud kuja kupokea mgao wao wa noah manake hairuhusiwi kuchukuliana
 

Ianze operation tunataka Noah zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…