Ushauri kwa mods, kuwe na thread moja yenye ''Sticky'' kuhusu Taifa Stars

zugimlole

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,903
2,000
Hakika mimi sio mgeni na wala sio mwenyeji sana humu jamvini ila leo nimeamua kutoka vichakani kueleza kero yangu. Kuna kitu nimegundua kuna thread nyingi ambazo ni kama sticky kwa ajili ya timu mbalimbali lakini sijawahi kuona thread inayozungumzia kila update za stars, inaniuma kama mzalendo .

COPY: MOD PLEASE NAOMBA TUPATE THREAD MOJA INAYOZUNGUMZIA STARS ONLY.

Thank you.
 
Jamal Malinzi

Verified Member
Feb 9, 2013
710
0
You shall never walk alone......motto ya Liverpool,Taifa stars ndugu zangu tusiipende kwenye neema tu ,ikiwa majaribuni pia tuipe sapoti,ni timu yetu sote.
 
Box 2

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
505
250
You shall never walk alone......motto ya Liverpool,Taifa stars ndugu zangu tusiipende kwenye neema tu ,ikiwa majaribuni pia tuipe sapoti,ni timu yetu sote.

Tumekusikia mkuu na tuko pamoja lakin kwa kua upo jikoni tungependa kuona stars iliyo endelevu,haya mabadiliko ya mara kwa mara ya wachezaji na benchi la ufundi mara nyingi yanaturudisha nyuma.
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,892
2,000
You shall never walk alone......motto ya Liverpool,Taifa stars ndugu zangu tusiipende kwenye neema tu ,ikiwa majaribuni pia tuipe sapoti,ni timu yetu sote.

Wewe nawe umeingia tu, mara kubadilisha jezi ya taifa, mara ofisi zenye hadhi, Taifa stars maboresho yaani vurugu tupu.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,335
2,000
You shall never walk alone......motto ya Liverpool,Taifa stars ndugu zangu tusiipende kwenye neema tu ,ikiwa majaribuni pia tuipe sapoti,ni timu yetu sote.

Ila Na Wewe Mtani Hebu Mruhusu Huyo Kocha Wetu Chuck Noris au Adolf Hitler ( Mart Nooj ) Azunguke Viwanja Mbalimbali Ili Ataue Mwenyewe Vijana Wake Wa Kazi Kuliko Kuteuliwa Tu Kwa Kuangalia Usimba, Uyanga Na Uzam Kwani Hakuna Tija. Nakumbuka World Cup Ya Mwaka 2000 Aliyekuwa Kocha Wa Cameroon Jina Kidogo Limenitoka Alimchomoa Mchezaji Huyu Aitwae NJAKA ABIEKA Kutoka ktk Kijiji Kilicho Ndani Kabisa Kama Kule Kwetu Misenyi, Biharamulo, Katerero Na Muleba Na Shughuli Yake Mtani Malinzi Natumai Uliiona Na Hata ktk Rekodi Ya FIFA Yupo Kwani Alipiga Bao La Nguvu La Umbali Wa Mita Kama 45 au 49 baada Ya Kunipunguzia Kijiji Na Alikunjuka Kisawasawa Mwanamume Na Nakumbuka Hilo Bao Lilinifanya Hadi Nijigonge ktk Ukuta Na Nikatokwa Na Mbonge Wa Nundu Kwani Nililishangilia Mno.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom