Ushauri kwa Mh. John Mnyika

Marehemu Chacha Wangwe alimlaani Mnyika Tokea Akiwa Hai kwani mojawapo wa watu waliokuwa na chuki kubwa na Chacha wangwe alikuwa Mnyika ,sasa laana imemkamata Ubungo mwakati atabaini laana ya chacha wangwe ilivyofanya kazi

mh MNYIKA NJOO UKANUSHE NA KUPOKEA USHAURI
 
Maccm mnatapatapa sana.. na bado
 
Wewe huna chama? Maana unampigia debe aende ccm huku unajifanya huna chama, huu ni unafiki mtupu!
 
Aisee cpata kuona ushauri safi wenye maono kama huu. Ni kweli mnyika ni miongoni mwa viongozi bora katika taifa hili ebu toka huko kwa hao maibilisi njoo huku utuongoze huko akufai kila siku utakuwa mtu wa dhambi tu kaka tafadhali
 
Eti aungane na January Makamba na zitto kuchukua funguo za taifa....kumbe #zitto ni ccm ha ha

yah! AUNGANE NA KINA JANUARY, MWIGULU, ZITTO, N.K.
ZITTO C MLITIMU KWA7BU YA ITIKADI ZA KIBAGUZI ZA CHAMA? SISI TUNATHAMINI UTENDAJI WAKE. UNAMSHANGAA ZZT AMBAE HANA KADI YA CCM? VP BABU ANAELIPIA KADI YA CCM?
 
how old are you?
 
Asante ee Mungu CCM wameanza kufunguka wenyewe, Hongera Mnyika. go go ooooooo! hiyo ni mwanzo mtawataja wote
 
Mwambie Dr slaa akalipie kadi yake ya Chama mnyika akipata akili ataenda mwenyewe ccm
 
mnyika amefundishwa uongo ufipa..kila siku anawadanganya wana ubungo atawaletea maji halafu hamna kitu..mnyika ni muongo sana
 
Wakati ukifika ndiyo atashtuka amepoteza muda wake bule bila manufaa, kama Masumbuko Lamwai sasa anakula maisha yake tu.

Kwahiyo unataka aje CCM kula maisha au kutumikia wananchi?
 

Zzk sio gamba, wew unatafuta pa kuropokea!
Kama umekubali sera na uwezo wa kijana hamia hku, Wacha vijana wafanye kazi zao!!
 
Unaujua uzalendo wewe? Hebu nitajie japo kiongozi mmoja tu wa serikali ya magamba ambaye ni mzalendo.
 
ndio maana mnyika anaonekana kama vile ana MAPEPO..KUMBE NI LAANA..AISEEE

Nyie mmekazana na mnyika je wabunge Wa ccm wangapi ata watanzania awajui sura zao mathalani mbunge Wa Rorya ,geita mjini,hawajai kuongea bungeni zaidi ya kuapa,we umekazna na mashine kbsa ata hivyo wtu Wa Dar ndio wapmbavu kbsa,kwenye nchi zingine miji mikuu ndio inakuwa leader au kwasbbu waswahili wengi wanywa kahawa,wapenda vya bure
 

kwa hiyo wewe ni mzungu sio mswahili. hongera sana
 

Kuwa ccm inakubidi uwe na akili ya Haiti,so kufikiri hapo hakupo.ccm ni misukule usiwape sifa wasiyokuwanayo,kwenda ccm ni kupotea kabisa,
Sifa ulizotaja ndizo sifa za ccm,ccm waongo sana,walituahidi maisha bora,hadi leo hayo maisha bora ni kwao wakizidi kujilimbikizia mali tena kwa njia zisizo halali'ccm si wazalendo hata kidogo mburura wewe,ni majizi makubwa ya raslimali za nchi hii na wabinafsi sana,halafu unasema wazalendo!uone aibu.
 
Duh! Kwa hiyo zitto Yukon CCM? Ushahuri wako akiuchukua atakwisha kisiasa... Anang'ara kwa sababu yuko upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…