teamleader
Senior Member
- Nov 27, 2015
- 150
- 66
Unakuta dem under 25, ana mashine kama bwawa la mtera... Na linda lishatatuliwa kitaambo, hata mimba alizotoa hazina idadi...
unakosa kabisa kila unaekuta nae uchi umezeeka alafu ukimwangalia ni under 23
Inaweza kuwa niWaliouzeesha n akina nani?!
Mabaazazi wenzako wamekusikia. Tena bakieni na mmoja tu anawatosha.Kila siku naona kilio wanaume wakilia kukosa wanawake wazuri wa kuoa, haina maana wanawake wa kuolewa hawapo, wapo ila wamehodhiwa na mabazazi.
Nuwaombe mabazazi na wengine wote mnaohodhi idadi kubwa ya wanawake ambao hamtawaoa muwaachie wanaume wengine wapate wa kuoa, unamiliki warembo 10 na wote unawadanganya kuwaoa ingawa kiukweli kutawaoa nadhani uachie 6 ubakie na 4 angalau utakua umwaokoa wanaume 6 mtaani.
Mimi kwa mwaka huu nimerelease warembo 6 kutoka kwenye long list yangu ya warembo ili waangalie wanaume wazuri wenye nia njema na wao.
Tuwapunguzie wenzetu jamani. Nenda live connect na sehem nyingine wanaotafta watu wa kuoa ni wanaume huku wenzao tumehodhi wanawake zaidi ya kumi, tuwapunguzie.
Sasa kama wanakuja wenyewe nifanyeje?
Labda hajajua kwamba wewe ni Baazazi.Sasa kama wanakuja wenyewe nifanyeje?
Hapo hakuna jinsi sasa.Hawakatai sasa..
Nani kakwambia wanataka dushe lako? Ngoja siku account ikianza kupumulia mashine ndo utajua wapo kwaajili ya dushe au fwezaMi nimehodhiwa na hao kumi nimejaribu kila mbinu kuwakimbia lakini wameng'ang'ania sijui ni ule upigaji wa dushelele?
Unaongelea ma nini?Mengine yana 20 miaka,lakini yamechakaa hayo! Halafu yanaringa kwa sana.
Nani kakwambia wanataka dushe lako? Ngoja siku account ikianza kupumulia mashine ndo utajua wapo kwaajili ya dushe au fweza
Unanichomea kwa mjomba hahaha akinifanyizia watajuana na dadake! Ushaambiwa undugu sio maji hauishindi damu
Ha ha ha umeshachangia tayari.Hi thread ya kibazazi sichangii kitu