Huyo jamaa ni Hr pale nashangaa kahamia kwenye kusoma magazeti halafu heading za UKAWA na magazeti kama mwananchi na Tanzania Daima hasomi kazi kufagilia CCMKuna huyo Jamaa anaitwa Sasala(?)...Sikumbuki jina lake....hana haiba ya utangazaji kabisa...hata kusoma magazeti kama ana kimuemue...Yule demu ndio kabisaaaaaaa..Uelewa wa mambo 000....Hawajui kupangilia mada na jinsi ya kujadili...Niliwangalia Mara kadhaa sijarudia tenaaa
Yule dem kimeo kanifanya niache kuangalia kile kipindi. Hata yule jamaa anayesoma vichwa vya magazeti hafai kabisa. Kwa ufupi kile kipindi hawajajipanga kabisa.
Hao clouds Tv kweli wachanga bado,maana mpaka leo hawana kipindi kizuri.
Wajipange upya wafikie level flan za Eatv afu yule kijakazi Yunus kafuata nini kule??
Niliwahi kuo-comment juu ya kipindi hicho,kwa kweli kinaboa sana,mi naangalia asubuhi kwa vile AZAM haina star TV ambayo ni the best kwa TV zote kwa kipindi chao cha yaliyomo magazetini,uwa wanatoa summary nzuri sana tofauti na TV nyingine yoyote Tanzania,uwa naanzia ITV ambao wao wanasoma tu vichwa vya habari na hakuna cha ziada,kisha nahamia clouds kuangalia kama kuna la ziada kabla siajenda kwenye mizunguko yangu.Tatizo clouds wanatumia muda mwingi kujadili nonsense na vitu vingi ambavyo hawana uelewa navyo pia wanaingiliana ingiliana pal aliyena unafuu ni yule dogo anayetangaza mpira,uwa wananiboa tena ku quote ma-philosophers mara alistotle,mara Einsten etc
Umeshindwa kutumia akili yako na muda wako kushauri vitu vya msingi kwenye maisha yako. Unashauri clouds? Stop worrying about the wrong people.
Kijakazi a.k.a Kija kumbe kaenda Clouds TV kalikuwa EATV haka ka Kija lakini kakazingua.
Ova