Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

Blah blah blah That is what I read here! Good song to stupid CCM cadres!
 
Mnaanzisha wenyewe huu upupu halafu mnakuja kuanzisha nyuzi ushuzi hapa Jamvini, kuweni na aibu na utu nyinyi maccm.
 
Adui akikushauri,do the opposite!Siku mtakapoanza kumsifia Mbowe(kama mnavyofanya kwa lipumba sasa) basi tutajua wakati wake umekwisha!
 
Miezi 16 imepita tangia uje na kauli yako kuhusu rubani wetu. Ndege yetu ipo salama angani?
Adui akikushauri,do the opposite!Siku mtakapoanza kumsifia Mbowe(kama mnavyofanya kwa lipumba sasa) basi tutajua wakati wake umekwisha!
 
Wewe juliana mbona inajulikana chuki zako baada ya kupigwa chini kimapenz huk cdm na ********* na ukajikuta unatoa ***********
 
Una hasira nao kwasababu walikufukuza kwenye chama kama mbwa!
 
CHADEMA ilikuwa na thamani chini ya katibu Mkuu Dr Slaa. CHADEMA ya sasa ni pango la majizi na mafisadi
Wakati Slaa ni Katibu Mkuu mbona sikuwahi kukusikia ukisema kuwa CHADEMA ina thamani?

Haya maneno yenu tumeshayazoea, ni watoto wa umri na hekima tu ndio watakaotilia maanani maneno kama haya.
 
Kumbe unajua kabisa watanzania ni masikini na waliiamini chadema kama mkombozi..

Kumbe unajua kabisa watanzania wanahitaji mkombozi lakini CDM ndio imewaangusha kwa sababu ya El.

Inaonekana kabisa CCM mlikuwa na agenda na hawa watu wawili LIPUMBA & SLAA, kama SLAA hakuwahi kufikisha kura hata 3mil katika chaguzi zote na uchaguzi umekuwa rahisi tu kwa CCM miaka yote. Leo EL uchaguzi mmoja tu kapiga kura 6mil sijui hapa utatudanganya nini hapa...
 
Hapo anamaanisha kuwa CCM ni jitu linalokandamiza wanyonge na CHADEMA "imeshindwa kabisa" kuwatetea.
Hapo inamaanisha Juliana Shonza anawaonea huruma wananchi wanyonge jinsi wanavyonyanyaswa na CCM na sasa wamekosa mtetezi

Kwenye movies za mapigano ya Karate/Kungfu, etc nilipata kushuhudia kijana anayefunzwa akimshambulia trainer wake na mihasira akajikuta yuko chini ndani ya nukta moja tu. hapo trainer akamwambia: "do not attack while you are angry". Sasa hapa akina Juliana wana chuki na hasira dhidi ya CHADEMA hadi wanajikuta wanatoa kauli ambazo kimsingi zinathibitisha jinsi walivyo wakandamizaji wa wananchi hadi kutamani CHADEMA iwe mtetezi. Kama wana nia njema na wananchi, kwa nini ahitajike mtetezi wa wanyonge dhidi yao?
 
90% ya wanasiasa watanzania mnasumbuliwa na njaa..Njaa na uwezo mdogo kichwani ndio vimesababisha watanzania wengi kuwa wanasiasa..

Siasa kwa Tanzania ni moja ya ajira rahisi saana na vigezo vyake ni rahisi pia, unahitaji vitu vifuatavyo kuajiriwa kwenye siasa za Tanzania,
Unafiki, Mama huruma, uchawi,kujipendekeza..

Matokeo yake ni kuendelea kuifanya Tanzania moja ya Taifa masikini kabisa, Taifa halijengwi kw a mdomo, mdomo hauwezi kuwa mchango wa ujenzi wa Taifa, Tanzania ni moja ya nchi duniani yenye wanasiasa wengi saaana na hii yote ni sababu ya uvivu halafu mnataka watu walipe kodi..

Mama unalipa kodi kiasi gani katika taifa hili kila mwezi??
 
CHADEMA ilikuwa na thamani chini ya katibu Mkuu Dr Slaa. CHADEMA ya sasa ni pango la majizi na mafisadi

Hata Dr Slaa angerudi Leo mkaona anawagaragaza mngenza agenda yenu ya kumchafua.

Kwanza nyie uongozi wa chama kingine unawahusu nini?! Uongozi wa mpinzani wenu ukiwa mbovu si ndiyo faida kwenu? Acheni unafiki.
 
Kumbe
Kumbe Kuna wanyonge wako wengi wanakandamizwa na serikali ya CCM alafu CHADEMA wanashindwa kuwatetea, jamani CDM wateteeni hao wanyonge maana hali ni mbaya kwao
 
VERY RIGHT,

Labda nimshauri Juliana(EX-CDM) shauri kama hizi wapelekee Lumumba inaweza kuwasaidia kuliko kuishauri CDM.Ushapata talaka yako ya humu CDM hayakuhusu.Umeshaolewa mshauri mumeo sio mtalaka wako.FULL STOP
 
Mbona mnahangaika sana , hebu endeleeni na li chama lenu la kijani kibichi chini ya mhutu aliyekuja kabebwa mgongoni toka kwao Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…