Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

Mrema mlimmaliza alipojisalimisha Lumumba. Na vivyo hivyo John Cheyo. Kwa CDM mnpoteza muda, lakini si kuna chochote kiti lumumba
 
Waliouza mapinduzi ni akina mbowe they must get out of here..
 
Huwa wananiboa zaidi panapokuwa Na shughuli isohusiana Na chama wao wanatinga Nguo za kijani hakika wanaboa

alafu ili ufanikiwe huko kwao lazima uwe mnafiki na mtu kuhamisha maneno huku kupeleka kule....yaani ni njaa kali alafu
 
Nitaanza kwa kifupi kueleza makosa ya kijinga waliyofanya CHADEMA kabla ya kuelezea yale ya msingi;

1. TAMAA – Viongozi wakuu wa CHADEMA walipata UROHO wa ghafla wa kutaka kuingia ikulu kwa namna yeyote, wakasahau misingi, wakaivunja UAMINIFU (LOYALTY) kwa wananchi walioujenga kwa miaka mingi na kwa nguvu kubwa iliyojumuisha DAMU ya watanzania. Tamaa ikawafumba macho, ikatawala akili zao, ladha ya madaraka ikatawala mioyo yao.


2. JEURI – Viongozi wa CHADEMA walipatwa na jeuri, jeuri ambayo asili yake ni FEDHA aliyokuja nayo EDWARD LOWASSA, wakadharau ushauri, wakapingana na wataalamu wao waliokuwa wakiwaamini miaka yote. Wakawashushua na kuwaona sio lolote si chochote pale walipowaeleza hatari ya kumpokea EDWARD ndani ya CHADEMA.


3. KIBRI – M/kiti wa CHADEMA na genge lake wakapatwa na kibri, wakaacha Mbachao kwa msala upitao. Wakawashambulia wenzao Slaa, lipumba na kila aliyepingana nao katika wazo lao la kumuweka EDO kuwa nahodha wa chombo chao. Wakaamini katika Edo na Matajiri wenzake wanaomuunga mkono. Ujuaji ukawa mwingi na kujiona wao ni zaidi ya kila mtu.


Mwisho wa Kunukuu.

Sasa turejee hoja chache za Juliana... kupitia watu wafuatao.

1. Jecha s. Jecha(Kibri na Jeuri)
2. Dr. Shein (Tamaa)
3. Magufuli (JEURI)

Juliana wewe na Mbowe mna kitu mlinyimana/mlitofautiana. Maana ugomvi wako mkuu si wewe na CHADEMA, bali ni wewe na Mbowe.
 
swadaktaaaaaaaaaaaa
Lkn siku zao zinahesabika binam kwa kuwa tushamjua yule jini wao wanomtumiaga, waendeleee tu kuyafanya maji ya bahari kuwa na chumvi zaidi, huku wakulima wakiendelea kupata shida ya mbolea
 
Lkn siku zao zinahesabika binam kwa kuwa tushamjua yule jini wao wanomtumiaga, waendeleee tu kuyafanya maji ya bahari kuwa na chumvi zaidi, huku wakulima wakiendelea kupata shida ya mbolea

hahahahahahahha...binamu hawa jamaa pona yao ni kuwafanya wagogo waendelee kula viwavi...may be wataendelea kuwapigia kura
 
hahahahahahahha...binamu hawa jamaa pona yao ni kuwafanya wagogo waendelee kula viwavi...may be wataendelea kuwapigia kura
Na watakula sana tu, nimesikia yule fisi ameenda kufanyiwa kazi visiwani, tutashuhudia mengi
 
Nakushanga sana Shoza kifo cha chadema ni ahweni kwako na familia yako amboyo mtaendelea kuitafuna nchi......sioni maana ya wewe kuishauri chadema ,nenda kamshauri mrema na Tlp yake ambye chamavchake kinafanya vizur na nitishio kwa ccm
 
Mzee. Yupo busy kuandaa mtandao wake utakao mweka kugombea tens 2020 kama huamini mark my word
 
July nilikuwa nakuona malayer kumbe una akili sana
CDM hakika ni SACCOS sio chama cha siasa
Over..
 
Ndio, Lowassa ameshindwa kwa aibu, aibu yake mwenyewe, aibu kwa waliomfuata uhamishoni, aibu kwa viongozi waaandamizi Chadema, aibu kwa wapiga kura waliohemewa na mhemuko wa ulaghai kuwa sasa pasipo shaka ni hakika zamu ya Chadema. kushindwa kwake kumefadhaisha na kuvunja mioyo ya wengi, wamepoteza nguvu na mali nyingi kwa hadaa iliyoingizwa na Lowassa ndani ya chama na kushereheshwa na tamaa ya fedha na uchu wa madaraka wa Mwenyekiti wa chama. Haijalishi kwa asilimia ngapi, nguvu, hiana, fitina, pesa aliyoteketeza ili kuingia madarakani nafasi ambayo hakuipata ni aibu, amewaondoa ktk msitari kuanzia maaskofu, wanasiasa maarufu hata wamakosa fulsa ya kuaminiwa tena.
 
Madhara ya kubadili gia angani ni kuanguka kwa ndege iwapo rubani aliyebadilisha gia sio mweledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…