Ushauri kwa IGP Sirro

Ushauri kwa IGP Sirro

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,142
Reaction score
24,432
Tunasikia tetesi na kelele za maandamano kwenye mitandao ya kijamii,bila kuelewa kamanda Sirro ameshaanza kuweweseka na kuanza kutoa matamko na makaripio kwa atakaeandamana kinyume cha sheria atakiona.

Ushauri kamanda Sirro wape kibali waache hao watu wenye kutaka kuandamana waende watakako cha msingi wape ulinzi na uwaeleze kabisa viongozi na waratibu wa hayo maandamano suala lolote litakalotekea kinyume na kusudio la maandamano basi wao ndio watawajibika,najua watanzania kama wataachia waende walikokusudia bila bughudha yeyote sidhani kama kutakua na uvunjifu wa amani.

Na tunawataka nanyi waandamanaji maana maandamano hubeba vibaka wa kupora basi kweli muwe na nia moja ya kufikisha ujumbe wenu sehemu husika na sio kuanza kuwachokoza polisi.

Angalizo kamanda Sirro ukiingiza intelejensia tu umeshaharibu najua askari wa kutosha unao na wanaweza kuwatuliza watu na amani ikarejea kama ilipotea

Wape kibali wajione wapo huru katika huru,utaandikwa kwenye vitabu vya kumbukumbu na historia!
 
Hapa kipara kwa mara kwanza umetoa ushauri maridhawa kabisa. Tatizo ninaloliona kwa viongozi ni ile hali ya kukwepa ukweli ambao kwa sasa umeanza kukosa majibu na walitarajia na kuaminisha mambo makubwa sana. Mambo kama ya ajira, uminywaji wa demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari, kudondoka kwa uchumi na biashara za watu. Haya mambo serekali haiko tayari kuona inaambiwa hadharani. Nashauri siku ya maandamano viongozi wa kisiasa wasiongee ili kuepusha kuonekana ni maandamano ya kisiasa kwani hapa pana shida kidogo. Bali viongozi wa dini na asasi za kiraia ndio waongee ili kufikisha ujumbe. Kwwnye maandamano hayo kusivaliwe sare za vyama, bali waandamanaji wabebe matawi ya miti na vitambaa vyeupe. Hapo serekali itajionea yenyewe ni kiasi gani inachofanya kinawagusa wananchi.
 
Bila shaka akishatoa hicho Kibali na akifukuzwa Kazi utakuwa unamkaribisha hapo Kwako kunywa nae Chai, chakula cha mchana na cha usiku pia Yeye pamoja na Familia yake nzima Mkuu.
 
Hapa kipara kwa mara kwanza umetoa ushauri maridhawa kabisa. Tatizo ninaloliona kwa viongozi ni ile hali ya kukwepa ukweli ambao kwa sasa umeanza kukosa majibu na walitarajia na kuaminisha mambo makubwa sana. Mambo kama ya ajira, uminywaji wa demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari, kudondoka kwa uchumi na biashara za watu. Haya mambo serekali haiko tayari kuona inaambiwa hadharani. Nashauri siku ya maandamano viongozi wa kisiasa wasiongee ili kuepusha kuonekana ni maandamano ya kisiasa kwani hapa pana shida kidogo. Bali viongozi wa dini na asasi za kiraia ndio waongee ili kufikisha ujumbe. Kwwnye maandamano hayo kusivaliwe sare za vyama, bali waandamanaji wabebe matawi ya miti na vitambaa vyeupe. Hapo serekali itajionea yenyewe ni kiasi gani inachofanya kinawagusa wananchi.
Mkuu tindo mambo mengine muache siasa ,hatulisaidii taifa ,hapa unaeleza mawazo yako na hisia zako zote ,kwa maana unajieleza ,uhuru upi unaoutaka ?, wa kutukana na kudhalilisha wengine ?
Au tuwape uhuru kama wa libya ?, kwasasa wanasherekea uhuru walioutaka kwa raha zao mpaka basi.

Mkuu tindo uhuru huendana na ustaarabu wa jamii,watanzania ustaarabu hatuna
 
Hakuna Mtanzania Aliyepungukiwa na Chochote kile toka Lifutwe
 
Tunasikia tetesi na kelele za maandamano kwenye mitandao ya kijamii,bila kuelewa kamanda Sirro ameshaanza kuweweseka na kuanza kutoa matamko na makaripio kwa atakaeandamana kinyume cha sheria atakiona.

Ushauri kamanda Sirro wape kibali waache hao watu wenye kutaka kuandamana waende watakako cha msingi wape ulinzi na uwaeleze kabisa viongozi na waratibu wa hayo maandamano suala lolote litakalotekea kinyume na kusudio la maandamano basi wao ndio watawajibika,najua watanzania kama wataachia waende walikokusudia bila bughudha yeyote sidhani kama kutakua na uvunjifu wa amani.

Na tunawataka nanyi waandamanaji maana maandamano hubeba vibaka wa kupora basi kweli muwe na nia moja ya kufikisha ujumbe wenu sehemu husika na sio kuanza kuwachokoza polisi.

Angalizo kamanda Sirro ukiingiza intelejensia tu umeshaharibu najua askari wa kutosha unao na wanaweza kuwatuliza watu na amani ikarejea kama ilipotea

Wape kibali wajione wapo huru katika huru,utaandikwa kwenye vitabu vya kumbukumbu na historia!
Nani kakudanganya kama hawa watu wanaoamini wana akili hata kuzidi wazazi wao wanapokea ushauri wowote ?
 
Mkuu tindo mambo mengine muache siasa ,hatulisaidii taifa ,hapa unaeleza mawazo yako na hisia zako zote ,kwa maana unajieleza ,uhuru upi unaoutaka ?, wa kutukana na kudhalilisha wengine ?
Au tuwape uhuru kama wa libya ?, kwasasa wanasherekea uhuru walioutaka kwa raha zao mpaka basi.

Mkuu tindo uhuru huendana na ustaarabu wa jamii,watanzania ustaarabu hatuna

Mkuu kwanza ufahamu maandamano sio jinai na yapo kisheria. Kwa eneo ulilosimama huwezi kuona vilio vya wengine. Subiri siku ya hayo maandamano ndio utaona wengine wanaona nini kuhusu utawala huu. Nimesema hata wanasiasa wasipewe nafasi ya kuongea kuepusha kugeuza hayo maandamano ni ya kisiasa, kisha uone waandamanaji watasema nini.

Ni dhahiri bunge limepoteza nguvu yake ya kuwakilisha wananchi awamu hii, kwenye chaguzi zilizopita umeona idadi ya wapiga kira imedondoka sana baada ya kulipuuza hilo zoezi la kupiga kura. Na bado hata waliojitokeza kupiga kura zoezi zima likatawaliwa na ghiliba. Hivyo umma unaona unaongozwa bila utashi wao. Ni vyema hayo maandamano yakawepo, kisha serekali ikajionea yenyewe idadi ya waandamanaji na nini tatizo lao. Sioni ni kwanini ww uonyeshe mawazo yako ni sawa na hutaki waandamabaji wafikishe maoni yao bila kupitia kwa madalali, wakati ww ni mtetezi wa hii tabia ya awamu ya tano.
 
Bila akishatoa hicho Kibali na akifukuzwa Kazi utakuwa unamkaribisha hapo Kwako kunywa nae Chai, chakula cha mchana na cha usiku pia Yeye pamoja na Familia yake nzima Mkuu.
ha ha ha. Poti umenichekesha sana. Hawezi kutoa kibali.
 
Sirro yupi mkuu.....huyuhuyu wa maagizo kutoka juu?
Ccm wangekuwa wanatumia ubongo kufikiri haya ndo yangekuwa maamizi sahihi kwa manufaa ya nchi na kwa mujibu wa katiba
 
Na tunawataka nanyi waandamanaji maana maandamano hubeba vibaka wa kupora basi kweli muwe na nia moja ya kufikisha ujumbe wenu sehemu husika na sio kuanza kuwachokoza polisi.

Angalizo kamanda Sirro ukiingiza intelejensia tu umeshaharibu najua askari wa kutosha unao na wanaweza kuwatuliza watu na amani ikarejea kama ilipotea

Wape kibali wajione wapo huru katika huru,utaandikwa kwenye vitabu vya kumbukumbu na historia!

Sijawahi kusikia maanadamano ya Siasa ya kiwa na watu wa iana hiyo hata siku moja.
 
Tunasikia tetesi na kelele za maandamano kwenye mitandao ya kijamii,bila kuelewa kamanda Sirro ameshaanza kuweweseka na kuanza kutoa matamko na makaripio kwa atakaeandamana kinyume cha sheria atakiona.

Ushauri kamanda Sirro wape kibali waache hao watu wenye kutaka kuandamana waende watakako cha msingi wape ulinzi na uwaeleze kabisa viongozi na waratibu wa hayo maandamano suala lolote litakalotekea kinyume na kusudio la maandamano basi wao ndio watawajibika,najua watanzania kama wataachia waende walikokusudia bila bughudha yeyote sidhani kama kutakua na uvunjifu wa amani.

Na tunawataka nanyi waandamanaji maana maandamano hubeba vibaka wa kupora basi kweli muwe na nia moja ya kufikisha ujumbe wenu sehemu husika na sio kuanza kuwachokoza polisi.

Angalizo kamanda Sirro ukiingiza intelejensia tu umeshaharibu najua askari wa kutosha unao na wanaweza kuwatuliza watu na amani ikarejea kama ilipotea

Wape kibali wajione wapo huru katika huru,utaandikwa kwenye vitabu vya kumbukumbu na historia!

Ajifunze nchi jirani ya Kenya.
 
IGP aache vitisho atumie busara zaidi. Aende hapo Kenya akajifunze kwa IGP wa kule jinsi alivyotumia busara kubwa wakati wa mkutano wa Odinga kujiapisha. Mbona mambo yalikwisha salama na hakuna hata panya aliyekanyagwa
 
Atoe kibali kwani yeye kazi yake haipendi??
 
Kweli itashinda mwisho, namna tunavyoishi
Kweli haihofu tisho, wala nguvu za majeshi
La uongo lina mwisho, kweli kitu cha aushi
Kweli itashinda kesho, kama leo haitoshi

--Shaaban Robert.

Katika mtazamo huu, mshairi anawahimiza watu kusema ukweli bila woga.
Magufuli anatupeleka pabaya, miaka miwili ya vitisho bila matunda tumechoka.
Ameshindwa kutuletea mabadiliko aliyotuhaidi tutamwonyesha mabadiliko tunayoyataka.
 
Back
Top Bottom