Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,106
- 128,731
Nimeipenda hii,Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Nayasema haya huku nikijihoji mwenyewe:..namshauri astaafu siasa.
..uamuzi wa kwenda bungeni bila ridhaa ya chama chake, hawezi kuukwepa, au kuurekebisha.
Halima achana na wanao shupaza shingo. Njoo tujenge nchi. Achana na wana harakati. Njoo CCM chama kubwa barani
Nchi mnaijenga kwa kutumia nini!? Migodi mshauza,maziwa mmeuza,mapori potential mmeuza, bandari mmeuza kila kitu mmeuza mmebakia kusema eti ili deni la Taifa lisionekane kubwa litajwe kwa dollar na siyo shilling huyo ni Samia,,,akaendelea kusema Eti mashirika ya umma yaanze kukopa yenyewe ili lisionekane kwamba ni taifa sasa unajiuliza unalitenganishe shirika la Umma na deni la nchi!?Halima achana na wanao shupaza shingo. Njoo tujenge nchi. Achana na wana harakati. Njoo CCM chama kubwa barani Afrika
Mkuu 'Egoinya', ninakuomba uje taratibu,; usianze safari yako humu JF kwa papara za aina hii. Tulizana kwanza.Mnapoteza muda kujadili hizo malaya,,,wtz mil64 tukose watu potential wa kupambaniq chama mpaka mzitamani Malaya zirudi chamani
Unamchaguaje Malaya!? Hii nchi kutokuendelea tunajitakia tu.Nimeipenda hii,Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Chadema isiposhiriki uchaguzi huu, its the end of the road kwa Chadema。
Halima uchukue fomu Kawe, CCM itamsimamisha, Kawe tutamchagua!
P
Tupo pamoja kumbe!Nchi mnaijenga kwa kutumia nini!? Migodi mshauza,maziwa mmeuza,mapori potential mmeuza, bandari mmeuza kila kitu mmeuza mmebakia kusema eti ili deni la Taifa lisionekane kubwa litajwe kwa dollar na siyo shilling huyo ni Samia,,,akaendelea kusema Eti mashirika ya umma yaanze kukopa yenyewe ili lisionekane kwamba ni taifa sasa unajiuliza unalitenganishe shirika la Umma na deni la nchi!?
safi. dada nampenda sana.Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Mkuu hivi unaishi nchi gani?Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Kumjua Malaya mpaka uambiwe au unamjua kwa matendo! Hao Malaya ni kansa walioifanya siasa kuonekana haina maana na ni utapeli,,wamefanya vijana wengi kukata tamaa.Mkuu 'Egoinya', ninakuomba uje taratibu,; usianze safari yako humu JF kwa papara za aina hii. Tulizana kwanza.
Sasa kujibu hoja yako: Muda ni wangu. Ninao uamzi wa kuutumia nionavyo inafaa bila ya kupangiwa na yeyote!
Kama hao wanaojadiliwa ni 'malaya", hiyo ni sifa unayowapa wewe, mimi siijui. Nimeshauri kufuatana na niwajuwavyo hao wahusika, sijawahi kuambiwa ni malaya, kama unavyo sema wewe.
Hakuna aliyesema kuwa hakuna watu miongoni mwa milioni 64 wasioweza kugombea; kila mmoja wao anao utashi wa kujitokeza kugombea au la, sawa na hawa unaowaita wewe malaya.
Hili ndilo jibu langu 'jororo' ninaloweza kukupa kwa sasa hivi; kwa vile sikufahamu vizuri.
Lakini kama unataka jibu 'gumu', la kiwenda wazimu kama ulivyoingia wewe, basi nitatafuta muda nikavae joho la uenda wazimu ili tuwe kwenye ngazi moja.
Alichanganya ndo kwisha huyo wananchi wakiona usomeki wanakupumzisha kwa amani the same to Machali ni DC kisiasa huyo naye alijimaliza mtu kama Catherine ruge namuonea huruma kisiasa kajimaliza mapema mno kuna watu Ubebwa na chama na kuna watu wanaweza kujibeba wenyewe hata nje ya chama ni hatariHamna mwanasiasa alieniuma kama yule dogo wa arumeru joshua nassari. Dogo alikuwa ana potential kubwa sana kuja kuwa giant wa siasa za Tanzania... sema ndio hivyo tamaa za vyeo zikamuingia leo hii hata hajulikani yupo wapi!
Sasa baba yake kaingiaje hapa! Ulishawahi kumwona ndani ya JF hata siku moja?Wakati lissu anapata div 1.7 ilboru baba ako alikuwa kijijini anauza taputapu kijijini na kuvalishwa ma tishirt ya ccm huku akiwa miguu peku
Halima kakuzwa na Chadema huyo ni mpinzani ni mambo ya kibinadamu na tamaaHalima aliishasema anatamani aendelee na Chadema isipokuwa kama watamfungia milango hapo ndipo ataangalia namna nyingine. Halima is very firm i trust her. Bulaya yuko sahihi kurudi CCM ndiko alikokulia sawa na Halima kwa Chadema.
Kumjua Malaya mpaka uambiwe au unamjua kwa matendo! Hao Malaya ni kansa walioifanya siasa kuonekana haina maana na ni utapeli,,wamefanya vijana wengi kukata tamaa.
Hawa Malaya hawasameheki hata kwa mungu! Watu wamepata vilema wakiwapambania then leo wanajiunga na mtesi ili kukanyaga kesho nzuri ya wavuja jasho na walaaniwe malaya hawa.
We Magufuli alikujua ulivyo mnafiki akasema una njaa japo uliuliza swali zuri!! Jihurumie unakaribia kumaliza umri wako duniani hujawahi kuwa na mchango wa kimageuzi umekalia kung'ata na kupuliza!! Toine mageziNimeipenda hii,Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Chadema isiposhiriki uchaguzi huu, its the end of the road kwa Chadema。
Halima uchukue fomu Kawe, CCM itamsimamisha, Kawe tutamchagua!
P
Hafai kabisa ananunulika kama maembeHalima kakuzwa na Chadema huyo ni mpinzani ni mambo ya kibinadamu na tamaa
Unaelekeza shutuma zako kwa wahanga, badala ya wanaotengeneza ushenzi husika. Hawa mabinti hawakuuvumbua uozo huoKumjua Malaya mpaka uambiwe au unamjua kwa matendo! Hao Malaya ni kansa walioifanya siasa kuonekana haina maana na ni utapeli,,wamefanya vijana wengi kukata tamaa.
Ni kama kuna jambo embeni linalokufanya uwaone hawa kuwa wabovu zaidi ya hata hao wanaobuni mbinu za kuwanunua hawa "malaya".Hawa Malaya hawasameheki hata kwa mungu! Watu wamepata vilema wakiwapambania then leo wanajiunga na mtesi ili kukanyaga kesho nzuri ya wavuja jasho na walaaniwe malaya hawa.
Masele kwa.sasa.yuko wapi mkuuHama hama ya vyama inapotezaga watu makini sana kwenye uwanja wa siasa kama wakina matiko na Bulaya Wakikosa Ubunge jua ndo bye bye kwenye siasa za Tanzania labda wakumbukwe kwenye UDC na RC basi ila kisiasa ndo wameenda kujimaliza bora wangetulia miaka mitano ipite Mbona Masele wa shinyanga alivumilia now karudi kwenye Game
Kususia uchaguzi chadema kuna wabeba zaidi kuliko kushiriki ni vile watu wamegoma kubadili fikira kwenda na wakati uliopo kizazi kimebadilika watu wamekua na utambuzi wa Mambo wengine wako kimya hawaongei ila wanaonaKwa wanayofanyiwa Chadema wakiwa wamesimama na Agenda ya wananchi ya NRNE baada ya uchaguzi kwa namna yoyote watakuwa na credibility mno kwa wananchi. Believe me.
Hivi yule dogo Yuko wapi? Dah nimekumbuka mbali sana..Hamna mwanasiasa alieniuma kama yule dogo wa arumeru joshua nassari. Dogo alikuwa ana potential kubwa sana kuja kuwa giant wa siasa za Tanzania... sema ndio hivyo tamaa za vyeo zikamuingia leo hii hata hajulikani yupo wapi!
Kupata vituo kama hivi bofya www.jamiiforums.comNimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.