Ushauri kwa Halima Mdee

Ushauri kwa Halima Mdee

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,190
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.

Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.

Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
 
Hama hama ya vyama inapotezaga watu makini sana kwenye uwanja wa siasa kama wakina matiko na Bulaya Wakikosa Ubunge jua ndo bye bye kwenye siasa za Tanzania labda wakumbukwe kwenye UDC na RC basi ila kisiasa ndo wameenda kujimaliza bora wangetulia miaka mitano ipite Mbona Masele wa shinyanga alivumilia now karudi kwenye Game
 
Malaya wa kisiasa ni kansa hashauriwi! Shauri yako.
 
Achana na malaya nchi ina watu mil 64 mnakosa watu potential mnakalia kuwalilia watu malaya design ya Mdee,bulaya,Hanje,Kaboyoka,Mwaifunga,Matiko,na wasenge kadhaa!! Nayemhurumia hapo ni Mama yangu Lwamlaza huwa namheshimu lkn naye akienda basi tena nae namuweka kwenye jalala natulia
 
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.

Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.

Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Mleta mada sijamuelewa. Halima mdee na kundi lake walishafukuzwa na kunyanganywa uanachama wa chadema. Sasa avumilie miaka mitano kwa chama kipi? Au Chadema bado wanamuhitaji?
 
kwahiyo sio Covid 19 tena, au mmesau mlivyokuwa mnamkejeli, hiv unafaham halima ccm ndio umemfariji mpaka hapo alipo na anajua mwoyoni mwake. labda mzee wa busara km Mbowe arudi ila sio huyu mtu asiyekuwa na hekima wala busara na mropokaji. ndio maana hata hakuna mtu anayemsaidia huko maakaman maana hana shukrani sana akitoka anaanza na yule aliyemsaidia bila hata kuwa na aibu
 
Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu.Watu wana mipango yao.
 
Mtu unayemshauri alishafukuzwa uanachama Chadema...

Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
 
Hama hama ya vyama inapotezaga watu makini sana kwenye uwanja wa siasa kama wakina matiko na Bulaya Wakikosa Ubunge jua ndo bye bye kwenye siasa za Tanzania labda wakumbukwe kwenye UDC na RC basi ila kisiasa ndo wameenda kujimaliza bora wangetulia miaka mitano ipite Mbona Masele wa shinyanga alivumilia now karudi kwenye Game
Hamna mwanasiasa alieniuma kama yule dogo wa arumeru joshua nassari. Dogo alikuwa ana potential kubwa sana kuja kuwa giant wa siasa za Tanzania... sema ndio hivyo tamaa za vyeo zikamuingia leo hii hata hajulikani yupo wapi!
 
Back
Top Bottom