Ushauri kwa Ester Matiko (MB)

Naona Dau lake kubwa sana mmeshindwa kufika, Mmeamua kuongeza nguvu ya ushawishi wa mitandao, Nyie toeni hela hiyo.
 
Kiasi cha pesa kitakachotumika kurudia uchaguzi nadhani ni bora apewe kutimiza baadhi ya miradi.
 
chama makini MKURUGENZI anajificha barna kufunga ofisi ili vyama visivyo makini vikirudisha fomu vikute hayupo na chama makini kipite bila kupingwa? chama makini kinasaidiwa kupta ushindi na vyombo vya ulinzi na usalama? tafuta kamusi usome maana ya umakini ni nini
 
Msiwapotoshe watoto wetu maana mpaka sasa watoto wadogo mashuleni wanaamini kuwa mpinzani ni kosa kumbe ni utaratibu rasmi wa kuwa watu wenye mawazo mbadala na ndio maana bungeni kuna mawaziri vivuli na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani ambaye anagharamiwa na serikali. Hapo tu inaonyesha upinzani ni kitu ambacho kinakubaliwa kwani hata kama utakuwa hujashika uongozi lakini bado unaweza ukawa na mawazo mbadala ambayo yanamsaidia yule anaetawala kuweka mambo sawa.

Hata huyo mbunge unaemwona makini bado ana fursa ya kuijenga nchi akiwa huko huko alipo
 
Sasa kuandika tu kazi. Unamshauri kama nani. Badala ya kuzungumzia maendeleo ya nyumbani kwako na kule Kolomije unashauri mtu ahame chama. Miaka 60 Luna maendeleo gani?? Maendeleo kwa kuua watu nayo utayaita maendeleo. Unajua raia wako ili ulete maendeleo kwa nani?? Kwa wanyama???
 
Namshauri kama mwanachama wa CCM
 
Kweli naona mapepo sasa wanatembea mitaani nawewe sasa yameshakupanda kuchwani
 
Nakuhakikishia kuwa 90% ya hawa lumumba ni masikini wa kutupa kuanzia elimu hadi kipato
matokea ya kuwa na bunge LA chama kimoja yatatuhusu wote maana hata ninyi mmebanana nasi humu humu. Tumikeni tu.By the way Zanzibar vipi? Sorry mkuu nimesahau kuwa uwezo wetu wa kutumia mbongo tulizopewa na Muumba unapungua kadri njaa zinavyotuuma
 
Mh.Matiko wapiga kura walikupenda ukiwa Chadema Mungu anakuwezesha kuyafanya yote ukiwa Chadema na atakubariki zaidi ukiwa huko huko Usiwasaliti Chadema kama kina fulani
 
Kwenye ukoo wenu mna asili ya ukichaa wallah! Ubunge amepata kwa ridhaa ya wanachama wa CDM na sio ccm. kwa lugha nyingine unamwambia ahame ktk ufalme wa Mungu ahamie ktk ufalme wa 'yule aliye kinyume' na Mungu!
Shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…